Ninatafuta mpenzi/mume nipo serious

Hakika Dada Loeli nimejifunza busara kubwa kwenye majibu yako. Pia majibu ya wengi humu bado yanaonyesha sisi ni washamba . Umri wa miaka 47 ni umri wa kati kabisa wala hujazeeka . Nina dada yangu amejifungua na miaka 45. Yes amechelewa kidogo ila ukiangalia afya yake , matunzo na muonekano ni kama yupo kwenye late 20s. Age is just a number na hakuna permanent formula ya lini uwe na ndoa na lini uwe na nini. Tena ni bora uingine kwenye ndoa ukiwa na uelewa wa kutosha , akili yako imefunguka kuliko kuolewa ukiwa hujakomaa utaonewa sana na by the time unakomaa huwezi kujinasua unaishi kwa majuto tu.

Anayeona miaka 47 ni mingi hebu ajitazame yeye na afya yake ? na je? ni nani mwenye mpango na siri ya Mungu juu ya maisha yetu? Dada usijinyime amani ya roho yako ili mradi haumtendi Mungu kosa. Ni haki yako kabisa kuwa na mwenza wa kushirikishana maisha yako. Bwana Yesu na Roho Mt akufunulie hazina zilizofichwa kwako. Usiwe desparate , relax, enjoy and you will meet the man of your dreams at a place and time you never expected.
 
Grateful to the Lord who created you and the woumb which carried you for 9 months. The parents who taught you manners. The same be showered to your generation.
 
Uliyezaa nae je VP maana wanaume huogopa kuleya watoto ambao cyo wazawa wake
Kwa umri ninaoutaka mimi it means naye atakuwa na Watoto. Kwa hiyo unataka kuniaminisha kuwa na mimi nitakuwa siwatunzi Watoto wake? Ninayemtafuta mimi ni yule ambaye tutalea Watoto wetu pamoja bila ubaguzi. Na hii ni priority
 
Vzr km ndo hivyo umeshapata
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom