Ninatafuta mpenzi/mume nipo serious

Ninatafuta mpenzi/mume nipo serious

Hapo kuna kuzaa kweli,maana kitalaam kuanzia umri 45 kuna uwezekano mdogo sana kwa mwanamke kushika mimba,au akajifungua zezeta.ni wanasayansi ndo wanathibitisha hivyo. Samahani lakini.
Hakuna kuzaa. Ninao watoto wananitosha ndiyo na mimi ninataka mzima mwenzangu mwenye watoto tayari. Siwezi kuwa na kijana kwa kuwa atataka kuzaa na mimi nilikamilisha wanatosha. Nitakuwa sijamtendea haki.
 
Pole sana Loeli kwa yote uliyopitia kwasasa niko nje ya Dar nikirudi Dar ntakupm tuonane kwa ushauri zaidi

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Nipe hiyo nafasi
 
m
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 47. Nina watoto watatu. Ninaishi Dar Es Salaam.
Ninahitaji kumpata mwanamume ambaye ana mapenzi ya dhati hasa uaminifu. Sihitaji kuolewa au niseme kuishi na mwanamume kwa haraka ila ninataka company tu. Na kupitia kampany nitaweza kujifunza kwa undani kama kweli mwanaume yuko siriazi au la. Ninachohitaji kwa sasa ni upendo wa dhati, nimerudia hapo.

Sitaki wabahishaji wa mahusiano na hapa atakayejitokeza awe mtu wa uhakika ambaye:

- Ni mgani i.e aliyefiwa na mkewe kwa misingi hii kama una baba yako hapa alifiwa na mama niunganishe tu. Au kaka yako ambaye amefiwa na mke niunganishe tu. Au awe Mtalaka na si kutengana.

- Akubali kupima HIV

- Asiwe mume wa mtu au mwanaume ambaye hajao ila ana wanawake ambao ana connect nao. Hii imenigusa sana baada ya kukutana na mwanaume ambaye alizaa na several women kumbe ni mtu ambaye hana future kabisa kimaisha ya familia. Nilimpenda sana ila changamoto za wanaume kama hawa ni kubwa sana. Ni kujitakia presha.

- Anipe uhuru wa kufanya mambo yangu ya kiuchumi kwa kuwa nina watoto na ninahitaji wasiishi maisha ya tabu . Sitaki kuwa tegemezi hapa. Nimejifunza sana.

- Awe ananithamini mimi kama mpenzi wake na asinilazimishe ndoa mpaka pale nitapona kuwa kweli ni mtu wa kuzeeka naye.

- Awe ni mtu anayejituma katika kuzalisha mali, either ameajiriwa/kujiajiri au anafanya biashara zake.

- Awe ni mtu anayependa familia kwa kuanzia na watoto wake mwenyewe iwe ni priority kwake kabla hajawapenda wanangu mimi.

- Awe tayari kuandikiana pre-nuptial agreement kama itafikia mahali tuamue kuishi pamoja. Ninasema hivi kwa kuwa atakuwa na mali zake na wanawe ambao atataka kuwapa urithi na mimi nina wanangu na chochote kidogo nilichoweza kuhangaikia kwa miaka yangu hivyo sitaki ugomvi wa mali hata kidogo.

-Asiwe Mlevi au Mvuta sigara.

- Awe mkristu. Sibagui ila mimi ni mkristu na wanangu pia hivyo itakuwa shida kidogo hapa. Nimekuwa mkweli msinielewe vibaya.

- Awe na miaka kati aya 47-52.

- Akiwa DSM ni vizuri. Nje ya DSM tutakubaliana workable situations.

- Vigezo visikutishe kama una vingi kati ya hivyo hasa umri na kutokuwa na mke tuwasiliane PM na ninaamini tutafikia muafaka wa pamoja.

Ninasema sasa kwa mwanaume ambaye anaona anaweza kujaribu kuanzisha mahusiano na mimi karibu PM. Ukiona utatoa lugha mbovu isiyo na staha ninaomba upite taratibu.

Angalizo.
Nipo serious, ninaomba sitaki lugha za matusi au mitaani mimi ni mtu mzima. Wanaume serious tu na wenye umri niliotaja wani Meseji (PM].
iaka 47 na bado huo uchi unawashwa kukunwa tuu jmn....sasa jmn kwa umri huo nitafaidi kweli akati menopause inakuja???any way nitakukuna kwa miaka michache tuu nikuache,,,maana pia wamama wa umri huo wanakua na hisia sana kwny kugegedana na ni watamu pia
 
Kwa kuwa mimi ni mstaarabu sitakujibu. Miaka ni number na wewe unaongezeka umri kila iitwayo leo. You started like a spot in your moms womb now you have grown up unluck with such naughty words. Be blessed. Nimelelewa kimaadili vinginevyo ningekujibu vibaya mno. Nimesema kwenye post ninahitaji Busara na asiye na Busara aache post yangu. Kila la heri.
 
Pole sana mama
mitihani ya kawaida kwa kizazi hiki. Vipi lakini mchakato unaenda vizuri? Nilikuwa na swali, hivi kama akitokea Muislam akataka uwe nae lakini yeye hatokuingilia kwenye maswala ya dini, vipi uko tayari?
 
Asante sana Kiraka. Familia inapendeza kama mtakuwa wamoja hasa penye imani naona pagumu. Kijamii ni lazima mtaingiliana sasa ukristu na Islam vimetifautiana sana.
 
Pole sana Loeli kwa yote uliyopitia kwasasa niko nje ya Dar nikirudi Dar ntakupm tuonane kwa ushauri zaidi

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
Asante sana ndugu yangu.
 
Hivi ulishampata babu bomba?....
Angalizo angalia usije muua Babu kwa pressure. Kabakiza pension tu.
 
Akiwa na mimi na pressure itapona kabisa. Nikimpata nitaleta mrejesho hapa hapa. Mchakato unaendelea.
 
Teh Teh, Loeli you are a funniest person.....
Take me please..... Age ina ruhusu
 
Why fun jamani? Walio serious walishakuja fasta PM hawakupoteza muda kwa kuwa nilisema mambo yote ni PM. Na wewe karibu kama una vigezo. Mchujo mkali unaendelea!!! Ha haha.
 
Vigezo vyangu nimeshawandisha wote
 
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 47. Nina watoto watatu. Ninaishi Dar Es Salaam.
Ninahitaji kumpata mwanamume ambaye ana mapenzi ya dhati hasa uaminifu. Sihitaji kuolewa au niseme kuishi na mwanamume kwa haraka ila ninataka company tu. Na kupitia kampany nitaweza kujifunza kwa undani kama kweli mwanaume yuko siriazi au la. Ninachohitaji kwa sasa ni upendo wa dhati, nimerudia hapo.

Sitaki wabahishaji wa mahusiano na hapa atakayejitokeza awe mtu wa uhakika ambaye:

- Ni mgani i.e aliyefiwa na mkewe kwa misingi hii kama una baba yako hapa alifiwa na mama niunganishe tu. Au kaka yako ambaye amefiwa na mke niunganishe tu. Au awe Mtalaka na si kutengana.

- Akubali kupima HIV

- Asiwe mume wa mtu au mwanaume ambaye hajao ila ana wanawake ambao ana connect nao. Hii imenigusa sana baada ya kukutana na mwanaume ambaye alizaa na several women kumbe ni mtu ambaye hana future kabisa kimaisha ya familia. Nilimpenda sana ila changamoto za wanaume kama hawa ni kubwa sana. Ni kujitakia presha.

- Anipe uhuru wa kufanya mambo yangu ya kiuchumi kwa kuwa nina watoto na ninahitaji wasiishi maisha ya tabu . Sitaki kuwa tegemezi hapa. Nimejifunza sana.

- Awe ananithamini mimi kama mpenzi wake na asinilazimishe ndoa mpaka pale nitapona kuwa kweli ni mtu wa kuzeeka naye.

- Awe ni mtu anayejituma katika kuzalisha mali, either ameajiriwa/kujiajiri au anafanya biashara zake.

- Awe ni mtu anayependa familia kwa kuanzia na watoto wake mwenyewe iwe ni priority kwake kabla hajawapenda wanangu mimi.

- Awe tayari kuandikiana pre-nuptial agreement kama itafikia mahali tuamue kuishi pamoja. Ninasema hivi kwa kuwa atakuwa na mali zake na wanawe ambao atataka kuwapa urithi na mimi nina wanangu na chochote kidogo nilichoweza kuhangaikia kwa miaka yangu hivyo sitaki ugomvi wa mali hata kidogo.

-Asiwe Mlevi au Mvuta sigara.

- Awe mkristu. Sibagui ila mimi ni mkristu na wanangu pia hivyo itakuwa shida kidogo hapa. Nimekuwa mkweli msinielewe vibaya.

- Awe na miaka kati aya 47-52.

- Akiwa DSM ni vizuri. Nje ya DSM tutakubaliana workable situations.

- Vigezo visikutishe kama una vingi kati ya hivyo hasa umri na kutokuwa na mke tuwasiliane PM na ninaamini tutafikia muafaka wa pamoja.

Ninasema sasa kwa mwanaume ambaye anaona anaweza kujaribu kuanzisha mahusiano na mimi karibu PM. Ukiona utatoa lugha mbovu isiyo na staha ninaomba upite taratibu.

Angalizo.
Nipo serious, ninaomba sitaki lugha za matusi au mitaani mimi ni mtu mzima. Wanaume serious tu na wenye umri niliotaja wani Meseji (PM].

MKUU,
KUNA MZEE HAPA JIRANI YANGU ANA VIGEZO VYOTE,
ILA ANAOMBA IWEKWE PICHA TAFADHALI.
 
Back
Top Bottom