Mtaa wa Msimbazi Ingia aggrey au ule mtaa unaofuata kuelekea Minazi mmoja then kuna kimtaa kifupi wanauza mapafyumu na maduka ya SAA hapo hapo, utapata mkanda.
Ukiona mitaa inakuchanganya hapo Msimbazi waulize mafundi SAA watakuelekeza wote wanajuwa maduka ya SAA hapo sehemu gani, ni kumtaa kifupi tu.