Mtangoo
JF-Expert Member
- Oct 25, 2012
- 6,165
- 5,621
Aisee! :A S 13:Achana nao hao mkuu wanakuchuza tu hao,hayupo hata mmoja anaye weza kuku ajira hapo,, hao wenyewe karibu wote na hawana ajira na wanatafuta kazi walau hata ya office assistant wasikusumbue na vijiswali vyao uchwara hivyo..