HIzi herufi (L&R) zinachanganya watu sana

HIzi herufi (L&R) zinachanganya watu sana

Kikubwa watu wanaelewa ayo ya R na L hayana adhali kwenye mazungumzo
 
Bado kuna wale ndugu zangu wa alafu badala ya halafu, akuna badala ya hakuna, apana badala ya hapana, nyimbo (moja) badala ya wimbo, nk.

Kiswahili ni lugha ngumu sana
 
Nikuona mwanaume ambaye sehemu ya R unatumia L , kuna namna naona ume left group.

Mtu unasema BALABALANI, au SUBILI.
Na huu ugonjwa ushakuwa mkubwa sana.
Mi hao wa hivyo nawapenda wananitia nyege niwabutue vinyeo vyao.

Kujeni hapa wazee wa 'subili' niwavuruge marinda.

Cc: adriz de mbusii
 
Nimeshangaa sana mbunge anasema mbele ya tamasha kubwa kabisa nipigie "yani shwali hamna shali" duh nikajiuliza hata kusikiliza tu muimbaji alitamkaje afuatishe nayo ni tatizo!
 
Niseme tu ukweli. Kwa anayeshindwa kutambua tofauti hasa wakati wa kuandika ajiulize upya kama alivukaje primary kwenda sekondari
 
Hizi helufi? herufi? L na R zinachanganya sana watu katika uandishi na wengi wao wanakacha tu herufi? helufi? mh hta mm zinainisumbua

MFANO»»
Kurudisha
Kuludisha

kuendelea
wengine wanaandika kuenderea

kusikiliza wengine kusikiriza MUHIMU KUELEWANA TU
L R H hadi waandishi wa habari wanazikosea sana.
 
Back
Top Bottom