Ninatafuta kazi inayohusu kilimo

petrop1

Member
Apr 27, 2020
50
9
Natumaini mu wazima kabisa ndugu zangu. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25,mzaliwa wa Moshi ila kwa sasa nipo Tanga mjini. Nina elimu ya kidato cha nne.

kutokana na ugumu wa maisha uliopo nimejitokeza mbele yenu kuomba kazi hasahasa inayohusiana na kilimo cha mahindi/maharage/ viazi ulaya ama mbogamboga..

Dhumuni la kuchagua kilimo ni kwa kuwa naamini ni sekta ninayoipenda toka moyoni. Nina uzoefu katika biashara ya rejareja & chakula. Ukinyozi pia kilimo..mahindi & maharage

ASANTE SANA
 
Back
Top Bottom