Ninatafuta eggs incubator inayo tumia Mafuta ya taa

Qualifier

JF-Expert Member
Dec 14, 2012
1,252
404
Habari ndugu zangu, nilikuwa na mawasiliano na Organization moja toka Njombe kwa ajili ya kuniuzia incubator ya mayai 450 wakati niko hatua za mwisho kutaka kuiagiza bahati mbaya sana nikaibiwa simu kama dealer ataona ujumbe huu ani inbox ili nimpigie
 
Back
Top Bottom