roselina john
JF-Expert Member
- Aug 17, 2017
- 758
- 947
Sijakuelewa
Ndiyo
Sijakuelewa
Tulikaa sehemu inaitwa Germany. Unapajua? Sio mbali na mahakama.Benaco sehem gani napajua sana ,
Kuna rafiki yangu anaitwa neema ishengoma
Hapo sipajui Ila mahakamani napajuaTulikaa sehemu inaitwa Germany. Unapajua? Sio mbali na mahakama.
Ila Ras wa mradi Maji ni anko wangu. Unamjua?
Ow wa sehem gan ngara
Nilipopigia mstari hapo...mbona hiyo sentensi hapo kama vile tayari upo DarHello friends, habari zenu,
Ninataka kuja dar lakin niliweka tangazo Jana , jf habari Na hoja mchanganyiko kuwa nataka kuja DSM sina wa kunipokea,
Ila kupitia ushauri wa ndugu Na jamaa Na wazazi ikabidi kwanza niwajue watu wa ngara Kagera waishio DSM, ili wanijue tutambulishane,
Mimi natokea kwa mzee bitwale wa ngara rusaga, lakin mimekulia Rwanda,
Karibu,
Nimekosa ni hapo?Nilipopigia mstari hapo...mbona hiyo sentensi hapo kama vile tayari upo Dar
Halafu kumbe watu wa kagera nao ni washamba hivi?
Hii mbinu unayotumia iko outdated,not in this life madame
Nashangaa mjanja anamfuatilia mshamba ? Anyway tusitukanane Ila mshamba anajua kuwa anahitaji kufundishwa,Nilipopigia mstari hapo...mbona hiyo sentensi hapo kama vile tayari upo Dar
Halafu kumbe watu wa kagera nao ni washamba hivi?
Hii mbinu unayotumia iko outdated,not in this life madame
Aaaaaaha!! Ariko mana! Angalia Dada angu asije pitia kamkopo kako kasaccos?
Its all gud lil sister kwa hiyo umekamilisha safari yako ya Dar ai bado upo Ngara?Hapo sipajui Ila mahakamani napajua