Nevergive up
JF-Expert Member
- Dec 24, 2024
- 563
- 866
Mimi sinaga mambo hayo kushadadia uchawi,urozi,uganga kifupi naimani yangu ambayo namtegemea Mungu mweza yote YehovaUmefungwa kichawi.
Ile unamwambia mtu akufungulie maana yake unapaswa kuomba.
Kuna nuru mbele yako lakini yakupasa uombe sana au mtu mwenye nguvu za rohoni akufungue ili ufikie hatma yako