Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,956
Hapana. Huyu atakuwa Muhaya. Subiri aje aanze kuelezea vilivyomo kwenye hayo mabegi. Vyote ni designer products na anasoma Harvard au ni CEO wa 500 company huko majuu.C bure atakuwa mkongo kaja Na viwalo