Ninarudi bongo jamani Wapambe Siwataki......

Ninarudi bongo jamani Wapambe Siwataki......

Ahahahahaaaaaaaaaaa!!!!!
born here here ahahaaaaaaaa!!!!!!
Kwa hayo mafurushi tegemea kukaa airport ya Dar wiki nzima,nowadays jamaa wanakagua mpaka mapumbun.i.
 
AY huyu, sijui mibegi yote ya nini hii! Labda ana wazimu huyu. Kabeba mitumba akawakomeshe bongo fleva wenzie bongo. Usupa staa bongo tabu sana.
 
Mbwembwe zote hizo ukute mfukoni ana USD 1000 tu ndo anazorudi nazo!!! Ushamba mzigo!
 
Hahaaa,home coming???

Bila shaka kabeba fridge,tv,radio,jiko,kitanda,masufuria,meza,kabati,nguo,mabeseni,mito,akifika bongo tayari ana kila kitu.

Sent from my radio
 
Back
Top Bottom