Ninapendwa mie

Nakuja Mwanza kumusaidia
 
ikivuma sana.. hukaribia kupasuka. jiandae kulia
 
Ukiwa unaangalia bongo muvi kuna sehemu wanasema "baada ya miaka mwili.,,,,,,,,,
 
Nadhani mlengwa kokote aliko anafuraha the same to you. Nyie enjoy maisha tu
 
Basi mkijua ivo mnaitumia kama fimbo. Nilishasema na narudia tena hata kama nitakupenda kiasi gani lakini ni mwiko kujua nakupenda kwa kiasi gani. Hii ni silaha kubwa ukicheza nayo vibaya inakuua kabla ya siku ya zako.
 
Shoti pambana na huba lako...!usikatishwe moyo na wenye wivu!!Ukishikwa shikilia tu kwa raha zako lol..
Mie enyewe hapa mapenz yamenilevya hata mbele sioni..hahaaaa kupendwa raha sana jomoni!!!
 
Shoti pambana na huba lako...!usikatishwe moyo na wenye wivu!!Ukishikwa shikilia tu kwa raha zako lol..
Mie enyewe hapa mapenz yamenilevya hata mbele sioni..hahaaaa kupendwa raha sana jomoni!!!
Acha ukipendwa na mwanaume anaejielewa utaona dunia yako maisha yenyewe mafupi haya kama mtu anaona wivu avumilie tu atapendwa
 
jamaa ana kipaji cha kupiga simu sio siri...kama kibanda cha simu!

haya ndo matokeo ya hiyo pink pwussyyy...!!! 🙄🙄

hongera...
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…