NINAPATA SHIDA Sana KUCHANGIA!!!!

mizambwa

JF-Expert Member
Oct 8, 2008
4,422
1,790
Wana JF,

Ninapata shida sana kuelewa kuhusu kipi nikipe kipaumbele kati ya kuchangia pesa kwa mgonjwa na kuchangia pesa katika msiba.

Naomba mawazo kipi ni muhimu kwani yanatatanisha akili yangu.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
bora umchangie mgonjwa ajaribu anawezapona lakini mtu akifa ni boya tu hata ukitupa jalalani ni poa tu watz waoga sana wa kifo ndo mana mnachanga sana mtu akifa. Heri mchange pesa mpeleke muhimbili kwa wagonjwa wasio na pesa ya malipo
 
Naona kama tuna muheshimu sana mtu aliyekufa, na endapo ukienda kwenye msiba na usitoe mchango, watu watakujadili sana. Lakini kwa mgonwja hakuna michango, na watu hawashituki kabisa.

INATATANISHA SANA

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!
 
Itabidi tabya ibadilike tumchangie mtu pale anapougua
 
Wana JF,

Ninapata shida sana kuelewa kuhusu kipi nikipe kipaumbele kati ya kuchangia pesa kwa mgonjwa na kuchangia pesa katika msiba.

Naomba mawazo kipi ni muhimu kwani yanatatanisha akili yangu.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
...hapo unamainisha nini?
 
Ni vizuri ukachangia mgonjwa apone. Hata kama wanasema tenda wema uende zako, usingoje shukrani, lakini ipo siku huyo mgonjwa naye atakusaidia.
 
...hapo unamainisha nini?

UNANIVUNJA MBAVU NDUGU YANGU NA MWILI WENYEWE UMEBAKI MIFUPA TU.

hii hali Roho inaniuma Sana. Maisha yenyewe ni magumu kama unavyoniona katika AVATAR yangu hapo.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
labda ungejiuliza maswali haya ninapomchangia mgonjwa dhumuni ni nini? kisha upande wapili jiulize nini dhumuni la kuchanga kwenye msiba.
ukipata hayo majibu kama yanafanana na ya kwangu basi utajua kwamba kote kuwili ni vizuri kuchanga kama unaweza kwa makusudi uliyokusudia na si vinginevyo.
 
Pole kwa sababu inakuuma.Mchango toa kama unauwezo

Ndugu yangu yaani unafikiri kuna suala la uwezo katika msiba. Yaani ndugu wanakkomaa hata kama huna unaambiwa nenda ukakope ili mchango wako utoe.

Lakini mtu alipokuwa mgoonjwa hakuna hata anayeweka dafutari kumchangia ili apate huduma ya matibabu. Na kuna wengine wanataka kusafirisha msiba akazikwe kijijini. Ni mchango hapo.

Sasa sielewi mambo haya kwa nini hatukufanya alipokuwa mgonjwa???

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Back
Top Bottom