ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 43,048
- 49,731
Mafiati Junction-Mbeya
Kiukweli Tanroads ya Sasa inatia kichefuchefu na aibu sana linapokuja swala la design.
Nimeangalia video zao zinazoelezea ujenzi wa njia 4 Mbeya ila cha ajabu na kushangaza eti eneo la Mafiati ambalo ndio Uso wa Jiji la Mbeya wao wanaenda kujenga Keep left au Round About badala ya kujenga Simple Flaiova kama hii hapa.
Kazi ya Miundombinu ukiacha kuhudumia traffic lakini inatumika kupendezesha,kuongeza thamani na hadhi ya Mji au Jiji husika.
Mara nyingi Huwa wanasingizia gharama kama sehemu ya kufichia uwezo wao mdogo wa design na ubunifu lakini hicho ni kichaka tu. Simple design kama hii hapa inahitaji gharama gani kubwa?
Tanroads mnajidhalilisha na kujidhalilisha nchi, jifunzeni kwa wenzenu na kama hamuwezi hakuna haja ya kuwa na hiyo taasisi ni Bora kuifuta.
Ona wenzetu wanachofanya, simple, good looking and cost efficient, nyie mnakwama wapi hadi mnatuharibia Mini yetu Kwa poor design?
Watu wa Mwanza kina Hector Cooper Kitombile instanbul Mikdde nyie ni wahanga wenzetu na watu wa Mbeya njooni tupige kelele kabla hawajutuharibia Mji Wetu. Half american Mbeya Girl Mbeya home MBEYA0000 Midimay Southern Highland Bujibuji Simba Nyamaume Yoda@Isanga family