The Spit
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 473
- 246
Nakwambia ni kukosa matumaini.Kitabu chako hakikupi matumaini yoyote.Matokeo ovyo,au kozi haina mshiko.Mtu unayejiamini unaweza kufanya mambo yako ya maana na elimu yako bila kumtegemea mtu yeyote au una-credentials za kuajirika huwezi kufanya huu upuzi.Mh! Kitendo cha kushi nje ya nchi na kuona wenzetu walivyo makini kwenye kazi zao bado ukaendelea kuwa CCM .......................!!!:angry::frown:
Ni aibu kwa elimu yao.Huko Urusi nako bwana wanajiabisha sana.Huu umasikini wote ambao CCM imeturithisha bado huku nje ya nchi tunashindwa hata kuja na mawazo mbadala bado tunaukumbatia uccm na ufisadi(ccm=ufisaidi).Shame on them!..sore loosers!