Ninaomba ujibu hesabu yangu, wengi watafeli

Ninaomba ujibu hesabu yangu, wengi watafeli

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,092
Reaction score
34,903
NINATAKA JIBU.jpg
 
Kwanza, assumptions:
- Kuwa kila tunachokiona kinafanana/kinalingana. Kwa mfano; apple zote zinalingana uzito, kila ndizi inalingana uzito na ndizi nyingine, nazi imevunjwa katika nusu sawa zenye uzito sawa.

Baada ya hapo;
apple - 10
ndizi (moja) - 1
nusu nazi - 1

1+10+3 = 14
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umetisha wengi wanaona ndizi 3
 
Back
Top Bottom