Nothing4good
Senior Member
- Feb 19, 2011
- 180
- 55
Sweetheart, umefurahisha lakini ningefurahi zaidi kama ungeiweka kwenye jukwaa la jokes.
???????????!!!!!!!!!!!!!!
he!! Kwani huku ni wap!?
Sweetheart, umefurahisha lakini ningefurahi zaidi kama ungeiweka kwenye jukwaa la jokes.
???????????!!!!!!!!!!!!!!
Kuna bwana na mke wake walikua honeymoon. Walipotoka huko wakaenda kwa mchungaji kuomba waachane maongezi yao yalikua hiv: mke na mume: mchungaji 2naomba uivunje hii ndoa! Mchungaji: alishangaa akasema mbona hata hamjamaliza hata wiki? Ok any way! yapi yamewasibu? Mke: mchungaji Ivunje tu hii ndoa mimi nimechoka nilifikiri iko hivi. ============> kumbe iko hivi... ==> Mchungaji akashangaa!? Haya na wewe yapi yamekusibu? Mume: nibora 2achane mimi nilifikiri iko hivi.. {} kumbe iko hivi { }
he!! Kwani huku ni wap!?
Hapo ndo mwenye makosa mume au mke?:wink2::wink2::wink2:
ha ha ha ha !hadi huku unapita? ila huku hatutafuti wachumba! vp maendeleo yako bibi Nothing4good