mahadhialy
Member
- Oct 19, 2019
- 45
- 24
Habari zenu wadau ninaomba mnisaidie ideas ya biashara ambayo naweza kuifanya kwa mtaji wa shilingi 20,000 au 30,000.
Cool box zile bei juu sana.Nunua ICEcream, na lile Coolbox, nenda kwa amu akupe mzigo ukauze, utapata kitu kidogo si haba. Just an idea. Ila ukisema ukanunue bangi kwa 30,000 uuze, itakutoa faster sana tatizo sasa ni mazingira
Nakuja kupiga kaziCool box zile bei juu sana.
Yeye aje na nguvu zake tu apige kazi.
Mungu akubariki sana, msaidie kama anasaidika! Otherwise nikutakie weekend njema kabisaCool box zile bei juu sana.
Yeye aje na nguvu zake tu apige kazi.
Mmmghhhh nani huyo? Wewe huyo??Nakuja kupiga kazi
😂😂😂😂Mmmghhhh nani huyo? Wewe huyo??
Duh, basi sawa kabisa!!😂😂😂😂
Mimi Huyo💪💪
Njoo rafiki tupige umbea lakini si kazi.Nakuja kupiga kazi
🤣🤣🤣🤣Njoo rafiki tupige umbea lakini si kazi.
Kaka yangu kazi hii ngumu sana.Mungu akubariki sana, msaidie kama anasaidika! Otherwise nikutakie weekend njema kabisa
Yeah uko sahihi kabisa Rafiki, basi akija na utambulisho unaeleweka mpokee. Huyo mdhamini labda apate na mdhamini wote watangulizane.Kaka yangu kazi hii ngumu sana.
Hasa mtu usiyemjua.
Maana anaondoka na mtaji wote mzigo na vitendea kazi vyote.
Mpaka kuweza kununua upya si leo.
Labda yna2 amdhamini.
Rafiki naona like zinatembea ninacheka sana.
Rafiki usinifanyie ivyo
Nipe ushauri mkuuUkipa 50,000 njoo nikishauri ndicho nachotaka kukifanya watu wawili wanafanya kama hiko wanapiga pesa, nimewa-interview wengine wanaofanya hiko kwa njia tofauti wanasema utagonga pesa So kauri zawatu zilizogonga sikioni ni HIYO NI PESA hahahaa.
Ukifikisha 50,000 PM me ukisema humu wakina mnge'to awachelewi kukutunga jina muuza mitumba ooh.
Unapatika wapi kwa Dar mkuu na delivery unafany!? Hizo Cool box ni Bei gani!?Cool box zile bei juu sana.
Yeye aje na nguvu zake tu apige kazi.
Napatikani Dar.Unapatika wapi kwa Dar mkuu na delivery unafany!? Hizo Cool box ni Bei gani!?