Business idea kwa mtaji wa 5 mls

Habar ndugu zangu,
Mimi ni kijana nmefanikiwa kupata mtaji wa 5mls nilikuwa naomba ushauri/ideas za biashara/kitu kitakachonifanya nikue kiuchumi ambacho nitaweza kufanya kwa budget hiyo niliyonayo.
karibuni ndugu
Fungua Tigopesa, Mpesa, etc ukiwa na location nzuri Kwa mwezi hukosi laki Tisa plus (nasikia)
 
Habari ndugu zangu,
Mimi ni kijana nimefanikiwa kupata mtaji wa 5mls nilikuwa naomba ushauri/ideas za biashara/kitu kitakachonifanya nikue kiuchumi ambacho nitaweza kufanya kwa budget hiyo niliyonayo.

Karibuni ndugu
Jifunze na uanze vipodozi, ndiyo nayozeekea. Ukifuata sheria za mchezo, unadumu nayo
 
Back
Top Bottom