Ninamzimia invisible.

Unamzimia Invisible kutokana na sababu ambazo ziko Invisible!!!?? Ha..ha..ha kama ni hivyo we need the quickest minds available..
 
wewe sema maneno hayo mwenzio akimaanisha halafu akataka mchezo usianze kulialia
 
We ni gay?
Au unamzimikia kishkaji?

kua basi na adabu kidogo..hata haipendezi mtoto wa kike kua mropikaji..hata siri za ndani utabwata mji mzima, toka nitoke ban nilidhan umekua kumbe bado hujaacha kujamba wakati wa kula..kuna haja ya kua na jukwaa la vichaa na utunukiwe umbalozi wa amani..nina mashaka na aikili yako
 

Una mdomo mchafu kha?!
 

Vipi umeongelewa wewe nini? Mbona povu lakutoka naomba huyu mdada husimguse plz nakujeshimu hata kama unajiita hatari
 
Tobaaaaaaa!
 

Kweli kichaa hajitambui!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…