Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,381
- 40,811
Upo sahihi unakosea sehemu ndogo, unatakiwa iyo milioni moja yote umpe baba mkiwa chemba., mama asijue kabisa kama kuna hata senti moja ambaoyo umempa baba.Kwema ndugu?
Naomba mawazo yenu. Mimi mara nyingi kama siyo mara zote, ninaposaidia nyumbani kwa chochote hususani fedha, huwa nazidisha mara mbili kwa mzee wangu.
Juzi hapa nilikwenda kuwaona, nikatoa 500k kwa mama na 500k kwa baba. Stori zikaendelea.
Wakati wa kuondoka ulipokaribia, nilimuita baba chemba nikamtoa 500k kibingwa. Nikamuambia weka mfukoni, ni ya vocha mzee!
Huu ni utaratibu wangu karibu mara zote ninapotembelea nyumbani, au ninapotoa fedha kwa wazee inapobidi.
Sababu hasa ni kwamba naamini ile 500k nyingine ataitumia kutoa mahitaji na yeye hatobakiwa na kitu.
Nakosea kwa hili?
Naomba maoni yenu ndugu zangu.
ππππ Kacheka balaaHapana sio mwenzangu huyu, mwenzie wa Mtoa mada .
Hakuna ulinzi hapo ππππππ Kacheka balaa
Watu kweli tumetofautiana, yaani 1.5m tu Kwa mzazi ndio mnasema hela yote hiyo?hata haukosei mwaya maana ile ya mama ni yake na ile ya baba itatumika nyumbani so ile unayomuongezea inakua yake tu
ila hela zote hizo unatoa wapi mwenzetu ni freemason au π
Jibu konki hili....apambane na mipango yake tuUnataka tukupangie maisha? Utaiweza mipango yetu?
sasa kwani ni ndogo?Watu kweli tumetofautiana, yaani 1.5m tu Kwa mzazi ndio mnasema hela yote hiyo?
Huyo anakula minofu tu akiona hatari nayeye anaanza kulia anatafuta msaada πππHakuna ulinzi hapo ππ
πππHuyo anakula minofu tu akiona hatari nayeye anaanza kulia anatafuta msaada πππ
sasa kwani ni ndogo?
naomba 10k basiπ
1.5m si hela ndogo lakini si pesa ya kulalamikia kama unampa mzazi ukimtembelea. Na isitoshe inategemea hao wazazi unawatembelea mara ngapi Kwa mwaka.sasa kwani ni ndogo?
naomba 10k basiπ
Upo sahihiKwema ndugu?
Naomba mawazo yenu. Mimi mara nyingi kama siyo mara zote, ninaposaidia nyumbani kwa chochote hususani fedha, huwa nazidisha mara mbili kwa mzee wangu.
Juzi hapa nilikwenda kuwaona, nikatoa 500k kwa mama na 500k kwa baba. Stori zikaendelea.
Wakati wa kuondoka ulipokaribia, nilimuita baba chemba nikamtoa 500k kibingwa. Nikamuambia weka mfukoni, ni ya vocha mzee!
Huu ni utaratibu wangu karibu mara zote ninapotembelea nyumbani, au ninapotoa fedha kwa wazee inapobidi.
Sababu hasa ni kwamba naamini ile 500k nyingine ataitumia kutoa mahitaji na yeye hatobakiwa na kitu.
Nakosea kwa hili?
Naomba maoni yenu ndugu zangu.
unadhani hata tunawaza udogo basi au ukubwa ? kila mtu anatamani hata awe anatoa 20m au hata na zaidi kwa mzazi wake kila mwezi au pengine kila wiki1.5m si hela ndogo lakini si pesa ya kulalamikia kama unampa mzazi ukimtembelea. Na isitoshe inategemea hao wazazi unawatembelea mara ngapi Kwa mwaka.
Ila ni fedha kubwa kumpa usiemjua au Malaya. I think that is understandable?!