Ninamtafuta dada aliye Dar es salaam

Ninamtafuta dada aliye Dar es salaam

Njoo nipo hapa Viva Towers nafanya Rhapsody.......ukija tukutane hapo Smooch..........

wewe nawe...ungemwambia niko ubungo stend kwenye kibanda cha Mpesa angeelewa.
 
Ungejipa promo kidogo, usingesema kazi maana kazi inaonekana unabangaiza tu perdiem, ungejipa biashara!

Ungejipa muda utakaoingia airport

Ungejipa hotel utakayofikia,hotel ionyeshe hadhi na kiwango chako cha juu kipesa, wangekimbizana huko PM!
 
Kama ni kuelekezwa jiji la dsm bac chukua tax akuzungushe jiji zima
 
Back
Top Bottom