Ninamkirimu vizuri mwalimu binti aliyeripoti kazini

Ninamkirimu vizuri mwalimu binti aliyeripoti kazini

Ina maana hapo halmashauri alikuwa yeye peke yake?? Si bure una lako jambo
 
Hakuna lolote, una lako jambo wewe..
Eti unamkarimu mwalimu binti..........! Mpaka hapo umeshanitia shaka.

Hahahaaa ondoa shaka ndugu au hujapenda binti kukarimiwa
 
Wewe si ndo tuliekutana pale kwa Mshale ukaniuliza kama ni mwalimu wa ajira mpya?
 
Kwanza kuwa ili uwe mwanachadema mzuri lazima uwe na roho nzuri na kukrimu wageni.
 
Teh teh..Ukarimu ni kitu kizuri sana...wenzetu waliamua kukiita..'hospital-ity'....
 
Watu wengine bana wakisaidia lazima wajitangaze, wewe una lako jambo mkeo hayupo ushaanza kuingiza wanawake ndani kwa kutumia fimbo kuwachapa walimu ehhh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom