kabanga
Platinum Member
- Dec 12, 2011
- 37,649
- 19,042
hamasa
endelea na huo moyo....
hamasa
Sola swee maaayu mnanso!!!!
haah,haah,ntolile maayu,ine nikisola i-songela du!
Hakuna lolote, una lako jambo wewe..
Eti unamkarimu mwalimu binti..........! Mpaka hapo umeshanitia shaka.
Wakuu, asalam aleikum
Nipo nyumbani kwangu Iramba katika mapumziko mafupi. Ninayo furaja kuu kumkaribisha nyumbani na kumkirimu binti mpole aliyekuja kuripoti kituo cha kazi Hamashauri ya Iramba akitokea Kigoma. Mwalimu huyu nilimpatia lift kutokea hamshauri akielekea kwenye lodge aliyofikia, nilimshauri awe mwanafamilia wangu ktk kipindi hicho ambapo hawajapangiwa shule, akakubali kwa wasiwasi wenye faraja. Binti kafarijika japo amesisitiza nimtaarifu mke wangu kuwa kuna mgeni maana yeye yupo Mwanza kituo cha kazi. Nimempatia chumba kizuri kapumzika peke yake
WanaJF wenzangu wa kike na kiume muwe na moyo wa kutoa misaada kwa watu hawa maana wengine wametokea mazingira magumu na wametoka kitaa
ONYO:Msitumie loophole hii kuwataka kimapenzi

Una lako wewe,unataka kumvua pichu mwenzio.Ndg zako wakija kwako unashindwa kuwakarimu.
umeniudhi sana, leo narudi zangu lodge chumba chako skitaki tena!!
haah,haah,teh,teh,teh
Wakuu, asalam aleikum
Nipo nyumbani kwangu Iramba katika mapumziko mafupi. Ninayo furaja kuu kumkaribisha nyumbani na kumkirimu binti mpole aliyekuja kuripoti kituo cha kazi Hamashauri ya Iramba akitokea Kigoma. Mwalimu huyu nilimpatia lift kutokea hamshauri akielekea kwenye lodge aliyofikia, nilimshauri awe mwanafamilia wangu ktk kipindi hicho ambapo hawajapangiwa shule, akakubali kwa wasiwasi wenye faraja. Binti kafarijika japo amesisitiza nimtaarifu mke wangu kuwa kuna mgeni maana yeye yupo Mwanza kituo cha kazi. Nimempatia chumba kizuri kapumzika peke yake
WanaJF wenzangu wa kike na kiume muwe na moyo wa kutoa misaada kwa watu hawa maana wengine wametokea mazingira magumu na wametoka kitaa
ONYO:Msitumie loophole hii kuwataka kimapenzi
wacheka eeeh!!
Naamin SIMBA MWENDA POLE NDIYE MLA NYAMA, Endelea polepole hivyohivyo Utakula tu