Ninamkirimu vizuri mwalimu binti aliyeripoti kazini

Ninamkirimu vizuri mwalimu binti aliyeripoti kazini

Wakuu, asalam aleikum
Nipo nyumbani kwangu Iramba katika mapumziko mafupi. Ninayo furaja kuu kumkaribisha nyumbani na kumkirimu binti mpole aliyekuja kuripoti kituo cha kazi Hamashauri ya Iramba akitokea Kigoma. Mwalimu huyu nilimpatia lift kutokea hamshauri akielekea kwenye lodge aliyofikia, nilimshauri awe mwanafamilia wangu ktk kipindi hicho ambapo hawajapangiwa shule, akakubali kwa wasiwasi wenye faraja. Binti kafarijika japo amesisitiza nimtaarifu mke wangu kuwa kuna mgeni maana yeye yupo Mwanza kituo cha kazi. Nimempatia chumba kizuri kapumzika peke yake

WanaJF wenzangu wa kike na kiume muwe na moyo wa kutoa misaada kwa watu hawa maana wengine wametokea mazingira magumu na wametoka kitaa
ONYO:Msitumie loophole hii kuwataka kimapenzi

Haiyumkini una nia nzuri sana, lakini unajitafutia majanga.
 
wakuu, asalam aleikum
nipo nyumbani kwangu iramba katika mapumziko mafupi. Ninayo furaja kuu kumkaribisha nyumbani na kumkirimu binti mpole aliyekuja kuripoti kituo cha kazi hamashauri ya iramba akitokea kigoma. Mwalimu huyu nilimpatia lift kutokea hamshauri akielekea kwenye lodge aliyofikia, nilimshauri awe mwanafamilia wangu ktk kipindi hicho ambapo hawajapangiwa shule, akakubali kwa wasiwasi wenye faraja. Binti kafarijika japo amesisitiza nimtaarifu mke wangu kuwa kuna mgeni maana yeye yupo mwanza kituo cha kazi. Nimempatia chumba kizuri kapumzika peke yake

wanajf wenzangu wa kike na kiume muwe na moyo wa kutoa misaada kwa watu hawa maana wengine wametokea mazingira magumu na wametoka kitaa
onyo:msitumie loophole hii kuwataka kimapenzi
updates:wamempatia kituo,ameripoti leo na kesho anakuja kuendelea na mapumziko next wiki nitampeleka,ni binti wa kondoa mrangi
mh mayu ! Njoo na maboga bwana ...kama huko hakuna pitia kinampanda!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom