Ninamashaka na Akili zao kama ziko sawa.

Ninamashaka na Akili zao kama ziko sawa.

Wawezakuta wana fungus....Wamewaloweka kwenye dawa hivyo wanasubiria dawa ifanye kazi yake:smile-big:
 
Post siyo yangu,lakini huyo wa kulia hapo kwenye picha ndo mimi,kwahiyo msisalimiane hapa,labda mumwombe mode awawekee jukwaa lenu la kusalimiana,huko msalimiane weee,kuanzia jumatatu mpaka weeked.

Mkuu Salamander wakati mnapiga hii picha niliwaona,ilikuwa China juzi kati kipindi cha joto kali sana.
 
Last edited by a moderator:
Hao jamaa nyumba walizo kulia wazazi wao walikua wanatumia miti ya bangi kama kuni wakati wa kupika!
 
Shosti, shem wako alikuwa na likizo ya mwezi na nusu alikuwa hachezi mbali, muda wote nahudumia, najituma na kuwajibika mtoto wa kike hata keyboard nikawa sipati muda wa kuikaribia. Mwambie apunguze hii tabia yake ya "kutaka" kila wakati kama hewa atanikondesha mie.
Ondoa shaka, nitaongea nae.
 
Jenga maendeleo yako kwa rasilimali ulizonazo, wacha nao wajisikie kama wale waliojaaliwa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom