Da mwaJ nimekumic ile mbaya shosti.Ha ah haa haaaaaa! wanasubiri kuogeshwa!
Da mwaJ nimekumic ile mbaya shosti.
Shosti, shem wako alikuwa na likizo ya mwezi na nusu alikuwa hachezi mbali, muda wote nahudumia, najituma na kuwajibika mtoto wa kike hata keyboard nikawa sipati muda wa kuikaribia. Mwambie apunguze hii tabia yake ya "kutaka" kila wakati kama hewa atanikondesha mie.Nipo best ila wewe ndio umepotea sana mdogo wangu. Isijekuwa umeishia kisimani kuteka maji ya kuwaogeshea hao jamaa! Lol!
Shosti, shem wako alikuwa na likizo ya mwezi na nusu alikuwa hachezi mbali, muda wote nahudumia, najituma na kuwajibika mtoto wa kike hata keyboard nikawa sipati muda wa kuikaribia. Mwambie apunguze hii tabia yake ya "kutaka" kila wakati kama hewa atanikondesha mie.
Hayakuhusu, kama limekuchoma kakojoe ulale.Hivi lini mtaacha kusalimiana kwenye post za watu?Kama unataka kupiganae stori si umpigie simu.
Hayakuhusu, kama limekuchoma kakojoe ulale.
Post siyo yako, kama siyo umbea unaokusumbua mtoto wa kiume ni nini?Yashakuwa hayo?Haya basi si mwandikiane sms tu,sio kusalimiana kwenye post za watu.
Post siyo yako, kama siyo umbea unaokusumbua mtoto wa kiume ni nini?