Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,342 Reaction score 10,684 Jan 22, 2012 #61 Utakuwa una huzuni sana sababu ya upweke.
Ziltan JF-Expert Member Joined Aug 20, 2011 Posts 2,743 Reaction score 7,015 Jan 22, 2012 #62 Hapo ulipo umekalia nini? Cheki vizuri huenda ndicho kinakuliza
nitonye JF-Expert Member Joined Dec 18, 2011 Posts 7,349 Reaction score 3,909 Jan 22, 2012 Thread starter #63 Ziltan said: Hapo ulipo umekalia nini? Cheki vizuri huenda ndicho kinakuliza Click to expand... Hapa mimi nimesimama halafu angalia hizo rejesta
Ziltan said: Hapo ulipo umekalia nini? Cheki vizuri huenda ndicho kinakuliza Click to expand... Hapa mimi nimesimama halafu angalia hizo rejesta
Vinci JF-Expert Member Joined Jul 6, 2009 Posts 2,637 Reaction score 675 Jan 23, 2012 #64 ha ha ha umeona kwa kiasi gani maneno yalivyochakachuliwa? Dunda kwetu said: Ovyoo,Njo nikupakate,Mx ​Hhahaha kiswahili ni tofauti na vile unavyo kifahamu hahahaha Click to expand...
ha ha ha umeona kwa kiasi gani maneno yalivyochakachuliwa? Dunda kwetu said: Ovyoo,Njo nikupakate,Mx ​Hhahaha kiswahili ni tofauti na vile unavyo kifahamu hahahaha Click to expand...
Vinci JF-Expert Member Joined Jul 6, 2009 Posts 2,637 Reaction score 675 Jan 23, 2012 #65 umepita maeneo ya jikoni.....labda vitunguu mkuu nitonye said: mkuu bangi inatoaga hadi machozi maana mimi natoka na machozi Click to expand...
umepita maeneo ya jikoni.....labda vitunguu mkuu nitonye said: mkuu bangi inatoaga hadi machozi maana mimi natoka na machozi Click to expand...
N Ninliy Senior Member Joined Jan 8, 2012 Posts 132 Reaction score 12 Jan 23, 2012 #66 nitonye said: jamani mimi nashangaa ninalia ila sijui nini hasa kinanifanya nilie Click to expand... Aaaaah!wacha utoto huo au una hamu na shem?mwambie tu ulimwengu wa uwazi huu!
nitonye said: jamani mimi nashangaa ninalia ila sijui nini hasa kinanifanya nilie Click to expand... Aaaaah!wacha utoto huo au una hamu na shem?mwambie tu ulimwengu wa uwazi huu!
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,689 Reaction score 64,731 Jan 23, 2012 #67 Uchuro wanasema waswahili
trachomatis JF-Expert Member Joined Jun 7, 2011 Posts 3,758 Reaction score 746 Jan 23, 2012 #68 mi nakushauri uhame huo mtaa unaokaa... Vinginevyo hutaacha kulia katu!@Nitty