Barua imeonesha muda wa kuanza tu ila najua sio mwaka mmoja ni kipindi kisichopungua wiki tatu wala si zaidi ya miezi mitatu
Taaluma gani shemeji. Nakujua mara zote unasema na unafanya vitu ulivyo nauhakika mara hii unataka nawe kusemea vya kusikia?Hongera Shemeji
Ila safari hii ukifunzwa uzalendo uelewe na ku-practice
Usifanye kama ulivyofanya kwenye hizo taaluma nyingine.....
Uongo mtupu hizo zilikuwa siasa za majitaka tu. Sijawahi hata kukutwa nimekaa popote na mke wa mtu. Mambo ya kutungwa tu nakufanya kete ya kisiasa. Kungekuwa na ukweli hali haingekuwa hivi. GT usipoteze muda kwa siasa za maji taka kwani hili halikuwasadia na waliotunga kwa ajili ya kampeni hizo. Sijawahi na wala sitegemei kutembea na mke wa mtu. Only that you dont know my wife, she is extra ordinary beatful, above all you dont know me una habari hizi tu za kuvumishwa kwa kutunga, am a servant of GodMwigulu,
Mimi sikushauri uende sababu nilipata taarifa kuwa huwa unatembea na wake za watu,
Sasa hebu ona wakati unaenda Igunga na kutembea na wake za watu si ungeweza kwenda
na wife wako au girlfriend wako?sasa huoni wewe utatumia hela za ufisadi kutembea na wake za watu?
Angalia wanajeshi wanaweza kukumaliza,jaribu kuwa binadamu yasijekukuta mabaya
Kuwa mwangalifu, vinginevyo utasababisha penati kuelekea golini kwako.hahaha, you are another! Hata mwenza wako umemjibu hivyo? Kuwa unajua tarehe ya kuanza na haujui ya kumaliza?
Jeshi litakuongezea maarifa kidogo. Kila la kheri. Ukifika tu uulize tarehe ya kumaliza ili utufahamishe tuje graduation yako!
Uongo mtupu hizo zilikuwa siasa za majitaka tu. Sijawahi hata kukutwa nimekaa popote na mke wa mtu. Mambo ya kutungwa tu nakufanya kete ya kisiasa. Kungekuwa na ukweli hali haingekuwa hivi. GT usipoteze muda kwa siasa za maji taka kwani hili halikuwasadia na waliotunga kwa ajili ya kampeni hizo. Sijawahi na wala sitegemei kutembea na mke wa mtu. Only that you dont know my wife, she is extra ordinary beatful, above all you dont know me una habari hizi tu za kuvumishwa kwa kutunga, am a servant of God
nitakumbuka sana hiki kipande cha post yako!kila lakheriWana JF, salam!
Nategemea kushiriki mafunzo ya JKT yatakayoshirikisha wabunge vijana. Nafanya hivyo kwa ajili ya NCHI YANGU, VIJANA WENZANGU NA CHAMA CHANGU.
Nawatakia ujenzi mwema wa taifa kwa kutumia ubao huu/tuition hii ya bure itoayo elimu ya maisha ie JF.
Uongo mtupu hizo zilikuwa siasa za majitaka tu. Sijawahi hata kukutwa nimekaa popote na mke wa mtu. Mambo ya kutungwa tu nakufanya kete ya kisiasa. Kungekuwa na ukweli hali haingekuwa hivi. GT usipoteze muda kwa siasa za maji taka kwani hili halikuwasadia na waliotunga kwa ajili ya kampeni hizo. Sijawahi na wala sitegemei kutembea na mke wa mtu. Only that you dont know my wife, she is extra ordinary beatful, above all you dont know me una habari hizi tu za kuvumishwa kwa kutunga, am a servant of God
Mecy acha utoto na ubishi wa kijinga. Una ng'ang'aniza nini wakati ufafanuzi umetolewa. Kama wewe ndiye ulievuliwa nguo jitokeze acha kushupalia vitu vya kizushi.wewe usiongee hayo wakti tunajua yote hayo,yule mtoto umemwacha?tulia kabisa tusije anika mambo yako.kiongoz ni kioo .sasa wewe kioo chako kinamulika wake za watu.mie mke wangu nilimwambia asiende kabisa mikutanoni.
nenda kaka labda utajifunza kutumia vizuri ulimi wako....maana kule ni utiifu tu..ndo unakuokoawana jf, salam!
Nategemea kushiriki mafunzo ya jkt yatakayoshirikisha wabunge vijana. Nafanya hivyo kwa ajili ya nchi yangu, vijana wenzangu na chama changu.
Nawatakia ujenzi mwema wa taifa kwa kutumia ubao huu/tuition hii ya bure itoayo elimu ya maisha ie jf.
mkuu nashukuru umelijibu hili kwanini ulikaa kinya mda woote huo!Uongo mtupu hizo zilikuwa siasa za majitaka tu. Sijawahi hata kukutwa nimekaa popote na mke wa mtu. Mambo ya kutungwa tu nakufanya kete ya kisiasa. Kungekuwa na ukweli hali haingekuwa hivi. GT usipoteze muda kwa siasa za maji taka kwani hili halikuwasadia na waliotunga kwa ajili ya kampeni hizo. Sijawahi na wala sitegemei kutembea na mke wa mtu. Only that you dont know my wife, she is extra ordinary beatful, above all you dont know me una habari hizi tu za kuvumishwa kwa kutunga, am a servant of God
pia nafikiri atapata hekima na kuachana kufukuzia wake za watu,.ila hofu yangu huko si anaweza kujifunza mbinu za kisasa zaidi za assassination?Mwigulu Nchemba, tunakutakia kila la heri, nadhani ukirudi kutoka huko Hautapoteza muda wako kuitukana CHADEMA na viongozi wake. Mafunzo ya Jeshi yanachangamsha akili hautabaki kama ulivyokuwa mwanzo...Mungu akusaidie kabisa
Asante kwa taarifa....
habari nzuri hizi basi wakati ukiwa JKT nitakusaidia tu kumpa kampani usijali kabisa hatajisikia mpweke!Uongo mtupu hizo zilikuwa siasa za majitaka tu. Sijawahi hata kukutwa nimekaa popote na mke wa mtu. Mambo ya kutungwa tu nakufanya kete ya kisiasa. Kungekuwa na ukweli hali haingekuwa hivi. GT usipoteze muda kwa siasa za maji taka kwani hili halikuwasadia na waliotunga kwa ajili ya kampeni hizo. Sijawahi na wala sitegemei kutembea na mke wa mtu. Only that you dont know my wife, she is extra ordinary beatful, above all you dont know me una habari hizi tu za kuvumishwa kwa kutunga, am a servant of God
Uongo mtupu hizo zilikuwa siasa za majitaka tu. Sijawahi hata kukutwa nimekaa popote na mke wa mtu. Mambo ya kutungwa tu nakufanya kete ya kisiasa. Kungekuwa na ukweli hali haingekuwa hivi. GT usipoteze muda kwa siasa za maji taka kwani hili halikuwasadia na waliotunga kwa ajili ya kampeni hizo. Sijawahi na wala sitegemei kutembea na mke wa mtu. Only that you dont know my wife, she is extra ordinary beatful, above all you dont know me una habari hizi tu za kuvumishwa kwa kutunga, am a servant of God
kaka huko jkt hakuna wanajeshi anayeweza kukulipua make nataman usirudi maana tutakuwa tumepunguza mali za umma zinazoliwa
kusema kweli ni laana ya hali ya juu kukubali kujinga Na ccm wakati unajua viogozi wake wanavyotafuna hii nchi vipande
Hivi unajivunia Mkapa aliyejipa kiwira
unajivunia sumaye mwenye hela zetu uswiz na shamba la kujigawia huko moro
unajivunia mramba, lowasa, membe na the worst kikwete na family...
Na kwa nguvu zote unasema eti tupo vyama tofauti.
Hapa ni wizi against wema
una gut kabisa ya kuvaa bendera shingon
usipo change ulaaniwe wewe na watoto wako na kizazi chao pia. watembelee magoti walie siku zote.