Dr. Mwigulu Nchemba
Tanzania Prime Minister
- Feb 25, 2012
- 419
- 2,191
Barua imeonesha muda wa kuanza tu ila najua sio mwaka mmoja ni kipindi kisichopungua wiki tatu wala si zaidi ya miezi mitatuNi kwa Muda Gani? Mwaka Mmoja kama Sisi?
Watafanya miezi sita kwa sasa, ila hawa waHeshimiwa nasikia wanaenda Wiki 3 tu.Ni kwa Muda Gani? Mwaka Mmoja kama Sisi?
Barua imeonesha muda wa kuanza tu ila najua sio mwaka mmoja ni kipindi kisichopungua wiki tatu wala si zaidi ya miezi mitatu
Watafanya miezi sita kwa sasa, ila hawa waHeshimiwa nasikia wanaenda Wiki 3 tu.
hayo ni mafunzo gani ya kijeshi ya wiki tatu!!! huna haja ya kutuaga we nenda tu hiyo ni mipango yako na ujifunze jinsi kutumia na kuifazi Bastola vizuri.Barua imeonesha muda wa kuanza tu ila najua sio mwaka mmoja ni kipindi kisichopungua wiki tatu wala si zaidi ya miezi mitatu
hahaha, you are another! Hata mwenza wako umemjibu hivyo? Kuwa unajua tarehe ya kuanza na haujui ya kumaliza?Barua imeonesha muda wa kuanza tu ila najua sio mwaka mmoja ni kipindi kisichopungua wiki tatu wala si zaidi ya miezi mitatu
Ni Muda Gani? Mwaka Mmoja kama Sisi?