Ninaking'amuzi cha kutabua ID zenu wote JF!

Ninaking'amuzi cha kutabua ID zenu wote JF!

Ng`wanakidiku

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2009
Posts
1,195
Reaction score
232
  • Wengine mademu wanajifanya majibaba!
  • Wengine majibaba wanajifanya mademu!
  • Wengine maroboti wanajifanya binadaamu!
  • ...............................................................
  • ..............................................................
 
Kama inakusaidia pouwa! Kila la kheri na king'amuzi chako.
 
hicho king'amuzi umekifunga wapi kwenye masaburi au?
 
Sweetlady wangu samahani sikutokea bi mkubwa aliniambia nisirudi nyumbani bila kumaliza kuuza zile karanga ila leo nitamtoroka nije
Lol, bimkubwa ana mkwara...haya nimekusamehe mwaya!
 
Hicho king'amuzi kianze kukung'amua wewe kwanza, under 18 unahangaika jukwaa la chini
 
Back
Top Bottom