Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 18,200
- 27,258
Kumekuwa na siasa chafu zinazofanya na wafuasi wa chama cha upinzani dhidi ya kamanda Sirro na jeshi la polisi. Hawa watu wamekosa shukrani kabisa, jeshi la polisi linafanya kazi usiku na mchana kuhakikisha nchi inakuwa salama.
Ukweli ni kuwa bila hili Jeshi la Polisi kufanya kazi kiuweledi Leo hii nchi ingekuwa haina amani. Hivyo ninakemea propaganda na siasa chafu zote na ninaomba jeshi la polisi liendelee kufanya kazi ili Tanzania yetu ibaki salama.
Kamanda Sirro ni moja ya wanausalama ambao wanafanya kazi kwa weledi mkubwa sana na hii imepelekea wahalifu wengi kushindwa kutenda uhalifu.
Hivyo hii vita ya kumuona Sirro hafai inafanywa na mtandao wa kiuhalifu ambao wanatamani kuona jeshi la polisi likishindwa kutimiza majukumu yao. Lakini kwa bahati nzuri watu hao wameendelea kupuuzwa.
Kamanda Simon Sirro unapaswa kujua kuwa mamilioni ya watanzania wanakuamini na wapo nyuma yako.
#nitasimama na jeshi la polisi#
#nitasimama na kamanda sirro#
#kazi iendelee#