πππ Huyu bro katisha aiseeMara ya kwanza niliona ngoja nikaushe hata kuchek pale pale niliogopa ila baada ya kukuta Braza kaka amecheka nikasema haya ndo ya mwinyi kwenye msiba wa magu anauliza hapa ni wap vileπππikabid nilud kucheka na kumjibuπ
Mkuu usichukulie serious Sana NI Katika Tu kumpa faraja kichangamfu by the way nishampa condolences kule pm ila hapa nijaribu Tu kumtoa wenge ili arudi kwenye mfumo..sio kwamba sijui uchungu hapana NI malomoni tuNi wewe,ni yeye....ulivyokuwa unapata mke unaacha,unapata unaacha ulikuwa unakuja kupost hapa....wewe unadhani ndoa hazitushindi huko mtaani? Mbona watu hawaposti?
Hivyo kilamtu na mada yake anayoona inaumuhimu kushare nasi anashare.
Time heals. Pole sana.Sijui hata nitapona vipi kwa hili, nimeshindwa
Mungu akubariki,nafuta comments zangu.ππMkuu usichukulie serious Sana NI Katika Tu kumpa faraja kichangamfu by the way nishampa condolences kule pm ila hapa nijaribu Tu kumtoa wenge ili arudi kwenye mfumo..sio kwamba sijui uchungu hapana NI malomoni tu
Kujiamini kupitilza nalo ni tatizoπππ Huyu bro katisha aisee
Unatongoza msibani? Aisee
Hata kama ni kujiamini basi kumepitiliza
Pole sana madameSikujua kama kuna siku itakuja kuja niishi na maumivu kwa kiasi hiki. Mipango ya Mungu ni Migumu sana sijui hata kwanini kaamua hili.
Mi namuita mtoto wangu, (mtoto wa kaka, kaka ninaemfata kuzaliwa) alifariki july 2025, hakika Mungu kaamua kunipa maumivu.....
Binti yangu huyu alianza kuumwa mwaka jana october, siku ya nyerere day aliamka na uvimbe usoni mama akajua labda kapigana tu na mdogo ake kama kawaida fujo za watoto, siku ya pili uvimbe ukazidi ya tatu uvimbe ni mkubwa hadi umepush jicho nje, wakaenda hospital. Majibu akaaambiwa hawana uhakika ila ni dalili ya cancer (walimficha tu ila walijua ukweli) binti yangu kaanza matibabu na akakaa sawa. Ikawa aje ocean road kuja kuanza chemotherapy.
22 june nikamfanyia booking ya sgr aje kwa ajili ya matibabu, hiyo siku nikaenda kumpokea anatembea mwenyewe anaongea na simu kuwajulisha siblings kuwa kafika nlifurahi kumuona. Tukaanza utaratibu wa hospital, kujisajiri nk.
27 June ilikua birthday yake akitimiza miaka 6 japo ni siku tumetoka hospital ila tuliamua akate keki tule...View attachment 3466019
Ijumaa birthday, jpili hali yake ilibadilika akaanza kutapika usiku jtatu tukaenda muhimbili emergency....tumemuuguza july 16 akafariki mwanangu.
NIMESHINDWA KUPONA πππ
Pumzika kwa amani mwanangu, Mungu nilimuomba sana anihurumie kwa ajili yako ikashindikana. Nina maumivu sana.
Inaniuma nimempokea anatembea lakini nikapeleka nyumbani kwetu Jeneza ππ Mungu nitamlilia sana
Pole sanaSikujua kama kuna siku itakuja kuja niishi na maumivu kwa kiasi hiki. Mipango ya Mungu ni Migumu sana sijui hata kwanini kaamua hili.
Mi namuita mtoto wangu, (mtoto wa kaka, kaka ninaemfata kuzaliwa) alifariki july 2025, hakika Mungu kaamua kunipa maumivu.....
Binti yangu huyu alianza kuumwa mwaka jana october, siku ya nyerere day aliamka na uvimbe usoni mama akajua labda kapigana tu na mdogo ake kama kawaida fujo za watoto, siku ya pili uvimbe ukazidi ya tatu uvimbe ni mkubwa hadi umepush jicho nje, wakaenda hospital. Majibu akaaambiwa hawana uhakika ila ni dalili ya cancer (walimficha tu ila walijua ukweli) binti yangu kaanza matibabu na akakaa sawa. Ikawa aje ocean road kuja kuanza chemotherapy.
22 june nikamfanyia booking ya sgr aje kwa ajili ya matibabu, hiyo siku nikaenda kumpokea anatembea mwenyewe anaongea na simu kuwajulisha siblings kuwa kafika nlifurahi kumuona. Tukaanza utaratibu wa hospital, kujisajiri nk.
27 June ilikua birthday yake akitimiza miaka 6 japo ni siku tumetoka hospital ila tuliamua akate keki tule...View attachment 3466019
Ijumaa birthday, jpili hali yake ilibadilika akaanza kutapika usiku jtatu tukaenda muhimbili emergency....tumemuuguza july 16 akafariki mwanangu.
NIMESHINDWA KUPONA πππ
Pumzika kwa amani mwanangu, Mungu nilimuomba sana anihurumie kwa ajili yako ikashindikana. Nina maumivu sana.
Inaniuma nimempokea anatembea lakini nikapeleka nyumbani kwetu Jeneza ππ Mungu nitamlilia sana
πππ nimecheka sana hapaHapa konyagiiii ipo KICHWANI imekolea.
Kwa nini mkuu.πππ nimecheka sana hapa
Pole sana loveSijui hata nitapona vipi kwa hili, nimeshindwa
Asante sanaPole jamani dada
π πUfe halafu utamu wako atanipa nani Sasa !? Acha hizo my π₯°π₯°π
Lol π€£π€£Pole nyingi Sana zinachosha kula maisha kwani umekufa wewe?
Duh pole sana ndugu yanguInaniuma nimempokea anatembea lakini nikapeleka nyumbani kwetu Jeneza ππ Mungu nitamlilia sana