Ninaishi na maumivu

Wapelekee watoto yatima namna hiyo hautapona utakuwa ukiziona unakumbuka , namna alivyoteseka kipindi mgonjwa,, (niliwahi kuuguza mgonjwa wa kansa ya hivyo macho kutoka nje) so naelewa hakuwa ndg ila mpk leo sijasahau jinsi alivyotseka, alikuwa akilia machozi ya damu sio maji damu!!

Wapumzike mahali pema sote ndio njia, wao wametangulia tu
Sa nizifanyeje ni nyingi....nguo viatu
 
Pole!
Jitahidi Jitahidi kukubaliana na kilichotokea ili ukawe makini zaidi hata barabarani.
 
Acha nitoke kwenye huu uzi, maana hata nguo zake zipo bado, nilienda mwezi wa 7 kutengeneza kaburi lake, nikakuta pembezoni kuna makaburi mapya ya malaika wengine, niliumia sana sana, bora ningekufa mie ila mtoto akabaki nae ale maisha πŸ™Œ
Ufe halafu utamu wako atanipa nani Sasa !? Acha hizo my πŸ₯°πŸ₯°πŸ’•
 
Dah! Pole sana aiseee, hivi vitu havizoeleki.

Nuru imeondoka iliyokuwa ina ndoto pia ya kutimiza mengi, inasikitisha kwa kweli.
 
Poleni sana Mungu awape faraja yake marehemu apumzike kwa Amani, pole sana, maumivu yakufiwa yaache tu.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Nami niliogopa tu kucheka msibani,ila niliko huku...Nimecheka balaa πŸ™Œ
Mara ya kwanza niliona ngoja nikaushe hata kuchek pale pale niliogopa ila baada ya kukuta Braza kaka amecheka nikasema haya ndo ya mwinyi kwenye msiba wa magu anauliza hapa ni wap vileπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒikabid nilud kucheka na kumjibuπŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…