Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,145
- 41,774
Hapa konyagiiii ipo KICHWANI imekolea.Sikujua kama kuna siku itakuja kuja niishi na maumivu kwa kiasi hiki. Mipango ya Mungu ni Migumu sana sijui hata kwanini kaamua hili.
Mi namuita mtoto wangu, (mtoto wa kaka, kaka ninaemfata kuzaliwa) alifariki july 2025, hakika Mungu kaamua kunipa maumivu.....
Binti yangu huyu alianza kuumwa mwaka jana october, siku ya nyerere day aliamka na uvimbe usoni mama akajua labda kapigana tu na mdogo ake kama kawaida fujo za watoto, siku ya pili uvimbe ukazidi ya tatu uvimbe ni mkubwa hadi umepush jicho nje, wakaenda hospital. Majibu akaaambiwa hawana uhakika ila ni dalili ya cancer (walimficha tu ila walijua ukweli) binti yangu kaanza matibabu na akakaa sawa. Ikawa aje ocean road kuja kuanza chemotherapy.
22 june nikamfanyia booking ya sgr aje kwa ajili ya matibabu, hiyo siku nikaenda kumpokea anatembea mwenyewe anaongea na simu kuwajulisha siblings kuwa kafika nlifurahi kumuona. Tukaanza utaratibu wa hospital, kujisajiri nk.
27 June ilikua birthday yake akitimiza miaka 6 japo ni siku tumetoka hospital ila tuliamua akate keki tule...View attachment 3466019
Ijumaa birthday, jpili hali yake ilibadilika akaanza kutapika usiku jtatu tukaenda muhimbili emergency....tumemuuguza july 16 akafariki mwanangu.
NIMESHINDWA KUPONA 😭😭😭
Pumzika kwa amani mwanangu, Mungu nilimuomba sana anihurumie kwa ajili yako ikashindikana. Nina maumivu sana.
Kuna siku utafeel ninachofeel, thanks anywayPole nyingi Sana zinachosha kula maisha kwani umekufa wewe?
Chanzo ni nini??Brain Cancer hiyo.
The fact kwamba ilishaanza kupush organs kama jicho nje, ujue ilikuwa advanced hiyo.
Poleni sana..
Naomba namie labda itanisaidia kwa akili zangu nashindwaHapa konyagiiii ipo KICHWANI imekolea.
Mimi ni mkristo nilimpoteza dada 16/ 17 July...
Niliwai kuwa na UGOMVII na MUNGU muda mrefu nilimwomba dada asifariki dada akafarikii
Ilichukua muda sana kupona...Kuna story/ simulizi ya maswahaba wa mtume Muhammad..for sure iliniokoa na kunisaidia sanaa
Chanzo ni lifestyles wala hakuna kingine, kuna research nimepost hapo juu, siku hizi tunakula sumu kuanzia vyombo tunavyotumia mpaka vyakula vyenyewe.Chanzo ni nini??
Polee. We uko kama mimi. Mtoto akiumwa naombaga niumwe mimi. Naumwa mara mbili yake. Hata hivyo nikumuomba Mungu tu dunia ina maumivu sana.Sikujua kama kuna siku itakuja kuja niishi na maumivu kwa kiasi hiki. Mipango ya Mungu ni Migumu sana sijui hata kwanini kaamua hili.
Mi namuita mtoto wangu, (mtoto wa kaka, kaka ninaemfata kuzaliwa) alifariki july 2025, hakika Mungu kaamua kunipa maumivu.....
Binti yangu huyu alianza kuumwa mwaka jana october, siku ya nyerere day aliamka na uvimbe usoni mama akajua labda kapigana tu na mdogo ake kama kawaida fujo za watoto, siku ya pili uvimbe ukazidi ya tatu uvimbe ni mkubwa hadi umepush jicho nje, wakaenda hospital. Majibu akaaambiwa hawana uhakika ila ni dalili ya cancer (walimficha tu ila walijua ukweli) binti yangu kaanza matibabu na akakaa sawa. Ikawa aje ocean road kuja kuanza chemotherapy.
22 june nikamfanyia booking ya sgr aje kwa ajili ya matibabu, hiyo siku nikaenda kumpokea anatembea mwenyewe anaongea na simu kuwajulisha siblings kuwa kafika nlifurahi kumuona. Tukaanza utaratibu wa hospital, kujisajiri nk.
27 June ilikua birthday yake akitimiza miaka 6 japo ni siku tumetoka hospital ila tuliamua akate keki tule...View attachment 3466019
Ijumaa birthday, jpili hali yake ilibadilika akaanza kutapika usiku jtatu tukaenda muhimbili emergency....tumemuuguza july 16 akafariki mwanangu.
NIMESHINDWA KUPONA 😭😭😭
Pumzika kwa amani mwanangu, Mungu nilimuomba sana anihurumie kwa ajili yako ikashindikana. Nina maumivu sana.
Kwenye movie ya Jet Li, Fearless kuna binti alipata upofu, huyu binti alikuwa anaishi na bibi yake. Binti alijawa na huzuni isiyoisha! Bibi yake alimfuata kisha akamwambia:Nina maumivu sana.
Itafute hiyo simuliziii itakusaidia sana...Mimi nilikaa mwaka na ushee sikusameheNaomba namie labda itanisaidia kwa akili zangu nashindwa
Machozi yanapunguza maumivu, kwa ushauri uliompatia pia atafute wimbo wa Ambwene, “NIMEACHILIA” bila shaka atapata relief kiasi fulani.Kwenye movie ya Jet Li, Fearless kuna binti alipata upofu, huyu binti alikuwa anaishi na bibi yake. Binti alijawa na huzuni isiyoisha! Bibi yake alimfuata kisha akamwambia:
"If you're sad, then cry. When there are no more tears, life will go on".
View attachment 3466050
Bibie, tafuta sehemu iliyotulia, lia mpake machozi yaishe, ukimaliza, endelea na maisha coz huwezi kubadilisha na maisha lazima yaendelee!
Miamala na wine hata havitaondoa ninachojisikia, ahsante.Tuna namba tufanye miamala unywe wine at least
Kataa ila ndio ukweli huo. Watoto wa dada yako huo ni ukoo mwingine kabisaa. Watoto wa kaka yako hao ndio baba zako na ndio mama zakoAaah wapi
Pole sana my dear, Eve.Sikujua kama kuna siku itakuja kuja niishi na maumivu kwa kiasi hiki. Mipango ya Mungu ni Migumu sana sijui hata kwanini kaamua hili.
Mi namuita mtoto wangu, (mtoto wa kaka, kaka ninaemfata kuzaliwa) alifariki july 2025, hakika Mungu kaamua kunipa maumivu.....
Binti yangu huyu alianza kuumwa mwaka jana october, siku ya nyerere day aliamka na uvimbe usoni mama akajua labda kapigana tu na mdogo ake kama kawaida fujo za watoto, siku ya pili uvimbe ukazidi ya tatu uvimbe ni mkubwa hadi umepush jicho nje, wakaenda hospital. Majibu akaaambiwa hawana uhakika ila ni dalili ya cancer (walimficha tu ila walijua ukweli) binti yangu kaanza matibabu na akakaa sawa. Ikawa aje ocean road kuja kuanza chemotherapy.
22 june nikamfanyia booking ya sgr aje kwa ajili ya matibabu, hiyo siku nikaenda kumpokea anatembea mwenyewe anaongea na simu kuwajulisha siblings kuwa kafika nlifurahi kumuona. Tukaanza utaratibu wa hospital, kujisajiri nk.
27 June ilikua birthday yake akitimiza miaka 6 japo ni siku tumetoka hospital ila tuliamua akate keki tule...View attachment 3466019
Ijumaa birthday, jpili hali yake ilibadilika akaanza kutapika usiku jtatu tukaenda muhimbili emergency....tumemuuguza july 16 akafariki mwanangu.
NIMESHINDWA KUPONA 😭😭😭
Pumzika kwa amani mwanangu, Mungu nilimuomba sana anihurumie kwa ajili yako ikashindikana. Nina maumivu sana.
Life style kwa miaka 6? Si heri hata ingekua mie...age goChanzo ni lifestyles wala hakuna kingine, kuna research nimepost hapo juu, siku hizi tunakula sumu kuanzia vyombo tunavyotumia mpaka vyakula vyenyewe.