Ninaishi Arusha, na leo nimeamua kujiunga na CHADEMA...

Mtoboasiri

JF-Expert Member
Aug 6, 2009
5,101
1,949
... kwa nini nimeamua hivi?
1. Siku zote nimekuwa najua na kuona udhaifu wa serikali, ila nimekuwa naamini kuwa criticism zinazotolewa serikali itazisikia.

2. Nilidhani magamba wana mapenzi na nchi hii kumbe nilikuwa najidanganya. Ukweli ni kuwa magamba hawaitakii mema nchi hii!

Nilichoamua:

Nitachukua personal loan na nitumie pesa hiyo kwenda Kitunda kuelimisha watu wa huko ili nao wabadilishe fikra. (Kwa msiojua Kitunda iko wapi basi ni Tabora kusini kuelekea Mbeya).
 
Hiyo ni haki yako ya Kikatiba ya kujiunga na Chama chochote cha siasa ukipendacho ila si kwa kuwa unaishi Arusha ndo umelazimika kujiunga na Chadema,vyama vingine haujaviona? Munaaminishwa kuwa Chadema ndo suluhisho la matatizo yako yote? Mimi siamini katika hilo kwakuwa viongozi wengi wa Chadema nawaona kuwa ni wababaishaji tu!
 
Nataka niende kwa Fundi cherehani anishonee Kama gwanda tano niwe nikishine jumamosi na jumapili na siku ambazo sio za kazi na CDM wakichukua nchi natinga nayo kazini kabisa "kudadadeki" ili lusinde anikome kabisa
 
tinga nalo sasa hivi kazini mkuu itakuwa vizuri.
 
Ccm wamenichosha nasubiria uchaguz mdogo coz sijawai piga kura toka nimetimiza 18yrs but ntarud arusha kumchagua mbunge wangu.
 
Hiyo ni haki yako ya Kikatiba ya kujiunga na Chama chochote cha siasa ukipendacho ila si kwa kuwa unaishi Arusha ndo umelazimika kujiunga na Chadema,vyama vingine haujaviona? Munaaminishwa kuwa Chadema ndo suluhisho la matatizo yako yote? Mimi siamini katika hilo kwakuwa viongozi wengi wa Chadema nawaona kuwa ni wababaishaji tu!

Ni haki yako pia kikatiba kusema ulichosema. Na pia ni haki yangu pia kusema nilichokisema, ila kusema kwangu kuwa naishi Arusha ni kwa kuona kwa macho yangu nilichokiona leo hii. Nina akili timamu na sishikiwi akili, kwa hiyo kwa moyo mmoja nimejitolea kutoa mchango wangu japo wa thumni ili kujaribu kuwapa watoto wangu msingi mzuri wa maisha yao on future!
 
Wanishangaza kweli siku zote ulikuwa unasubiri nini mkuu kwenye mji wa kimapinduzi.

Mkuu, mimi nina kawaida ya kutaka kujiridhisha kwanza kabla sijafanya maamuzi. Ila nimeamua kwa dhati, na kwa gharama zangu nitajitahidi kuwaelimisha watu wa Tabora nao wauone ukweli niliouona!
 
Hiyo ni haki yako ya Kikatiba ya kujiunga na Chama chochote cha siasa ukipendacho ila si kwa kuwa unaishi Arusha ndo umelazimika kujiunga na Chadema,vyama vingine haujaviona? Munaaminishwa kuwa Chadema ndo suluhisho la matatizo yako yote? Mimi siamini katika hilo kwakuwa viongozi wengi wa Chadema nawaona kuwa ni wababaishaji tu!

wewe ndio mbabaishaji na magamba
 
Wadau Mimi Ni pambanaji mwenzenu baada ya kuona alicho fanyiwa Lema Nimeamua kuanzisha Mziki Tangu June 2012 through 2015 kama harakati za awali kuchukua jimbo la korogwe mjini na nitasaidia kijana yeyote wa chadema kuchukua jimo la vijijini
 
... kwa nini nimeamua hivi?
1. Siku zote nimekuwa najua na kuona udhaifu wa serikali, ila nimekuwa naamini kuwa criticism zinazotolewa serikali itazisikia.

2. Nilidhani magamba wana mapenzi na nchi hii kumbe nilikuwa najidanganya. Ukweli ni kuwa magamba hawaitakii mema nchi hii!

Nilichoamua:

Nitachukua personal loan na nitumie pesa hiyo kwenda Kitunda kuelimisha watu wa huko ili nao wabadilishe fikra. (Kwa msiojua Kitunda iko wapi basi ni Tabora kusini kuelekea Mbeya).

Ndugu umepotea njia

Bange ikiisha kichwani fikiria upya uamuzi wako..

umeanda kwa chama cha wajasiriamali..trust me
 
Karibun wakereketwa wote,cdm ndo tumaini letu,silipwi chochote but popote nilipo nahakikisha watu wanaijua cdm na kujiunga nao!peoplesss!malizieni wenyewe.nukta
 
Back
Top Bottom