mopaozi
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 3,301
- 520
Haaa kweli hizi ni fikra za kunywa viroba na ndumu zikiisha kichwani utajutia uamuzi huu wa kipuuziii... kwa nini nimeamua hivi?
1. Siku zote nimekuwa najua na kuona udhaifu wa serikali, ila nimekuwa naamini kuwa criticism zinazotolewa serikali itazisikia.
2. Nilidhani magamba wana mapenzi na nchi hii kumbe nilikuwa najidanganya. Ukweli ni kuwa magamba hawaitakii mema nchi hii!
Nilichoamua:
Nitachukua personal loan na nitumie pesa hiyo kwenda Kitunda kuelimisha watu wa huko ili nao wabadilishe fikra. (Kwa msiojua Kitunda iko wapi basi ni Tabora kusini kuelekea Mbeya).