Baba_Enock
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 7,076
- 2,465
Why pay money to have your family tree traced; go into politics and your opponents will do it for you.
~Author Unknown
~Author Unknown
Our president is talented kubwa sana za sanaa... ukimuona anasakata rhumba ni balaa, akija kwenye ngoma ndo usiseme... kwa hilo hatuna ubishi
well done Kamaharage...
You have effectively used your citizen's rights
clap...clap!!!
Ni bwata au Bwasa. Kujenga barabara ni wajibu siyo hisani. Nikodi yetu. Chukua Salary slip yako, Angangalia PAY ni % ngapi? Angalia NSSF/ PPF yako % . Siyo CCM wanajenga Bwata ni Kodi yako, kama umewai nunua gari angaria Kodi %? Alafu ndiyo ubwate CCM imejenga matundo ya vyo vya shule. Wake up sir/ madam.
Jamani,
Tusidanganyane hapa kwenye Forum kuwa eti Dk. Wilbrod Slaa atashinda kiti cha Rais! Hakuna vigezo vyovyote vya kisayansi vinavyoashiria jambo hilo, labda hii Opinion Poll ya Jamii Forum, ambayo imethibitika dhahiri kuwa ni ya kuchakachua!
Fikiriria yafuatayo:-
· Dk. Slaa hana uzoefu wowote wa uongozi wa Kiserikali;
· Uongozi wa Kanisa umemshinda;
· Uadilifu wake unatia shaka (kuiba mke wa mtu, kuishi na mwanamama muda mrefu bila ya kumuoa rasmi, kuchukua pesa za walemavu mpaka wakamuondoa uongozi wa Kanisa);
· Katika Bunge (alikokimbilia kufanya kazi ya Siasa baada ya kushindwa kabisa, tena kwa aibu, kumtumikia Bwana!) kazi yake ni kuvurumisha mabomu tu, hana jipya (kama mabomu yanampeleka mtu Ikulu, Augustine Lyatonga Mrema angekuwa Rais wetu mwaka 1995!).
Mtakuja kuabika humu katika JamiiForum baada ya Oktoba 31! Mtaishia kusema CCM, imeiba kura (wimbo wa wanasiasa wa upinzani Tanzania, uliochosha masikioni)! Isitoshe, Urais si wa kumjaribu mtu, ukitaka waulize Waganda walivyomjaribu Iddi Amin aliyempindua Rais Milton Obote au Wazambia walivtomjaribu Chiluba (aliyekuwa anapasua mabomu dhidi ya UNIP hadi akamtia ndani Rais Kenneth Kaunda)!
Chagua CCM iliyotimiza ahadi zake:-
· Barabara za lami zimejengwa (ya Kigoma Kaskazini kwenda Burundi, Zito Kabwe anadai sasa katika kampeni zake za Chadema, kuwa eti anajenga yeye!);
· Kwenda Mwanza tulikuwa tunapitia Nairobi, sasa tunakwenda moja kwa moja tu, kwa siku moja;
· Vijana wetu, tena watoto wa masikini, wanaofaulu Shule ya Msingi sasa wanaingia Sekondari kwa wingi kwa kuwa kila Kata ina Sekondari;
· Tuna Vyuo Vikuu 33 sasa na kikubwa cha umma cha Dodoma kitakachochukua wanafunzi 40,000 kwa mkupuo, kimeanza kazi;
· Tuna chakula cha kutosha hivi sasa nchini (Kenya sasa wanahemea na kuponea Tanzania!) mpaka Serikali imerusu tuuze nje kwa wenye njaa wa huko;
· Zanzibar sasa shwari, baada ya Rais Kikwete kutimiza ahadi yake ya kulipatia ufumbuzi suala la uhasama wa kisiasa (tumesuluhishana wenyewe na hatukumhitaji Kofi Annan!).
Tusidanyike!
Bwassa

Hujalazimishwa kusoma wewe! Kwani mada ndefu ni ipi? mbona we mwenyewe umeandika mengi tu!!!!!!!!!!!!!!! Tchao!Usitupotezee muda kuweka mada ndefu humu, tunataka mada fupi zinazoeleweka na siyo historia. unajua mafisadi wanapenda sana kuremba maneno na kupindisha ukweli. Humu tunataka nguvu za hoja na siyo hoja za nguvu kama unazotuwekea KAMARADE. kama ww ni mwandishi anzisha gazeti lako. Inaonyesha somo lako kubwa ilikuwa ni siasa na historia na ndio maana unatoa hoja ndefu ndefu bila mpangilio.
Kwa kifupi Dr.Slaa ni mtu mwadilifu na makini na hoja zake zina mvuto na zinalenga kulikomboa taifa hili kutoka kasumba ya vichwa maji ya kutochambua mambo kwa umakini. Naanza kuhisi una tatizo la kukariri kama ulivyokuwa ukikariri daftari zima ulipokuwa shuleni. Usipotoshe umma sie tunafuatilia humu kila mjadala kwa umakini. Km huna la kusema bora nyamaza tu hupotezi kitu. Au siyo waungwana?:nono:
Jamani,
Kwani huyo Slaa wenu, kama angeshinda (hata hivyo hatashinda, kamwe!) atakuwa hatozi kodi? Serikali gani inaendeshwa bila ya kodi? Hoja hapa ni kwamba CCM iliahidi na mengi imeyatekeleza mengi! Tumpe kura Slaa kwa sababu gani na kwa lipi? Kupasua"mabomu"? Wananchi hawali "mabomu", wanahitaji maendeleo, siyo fitina na matusi!
Bwassa
Bwassa,
Sidhani hoja yako kwamba Dr Slaa 'hana uzoefu wowote wa uongozi wa kiserikali' ni ya msingi. Uzoefu, si kipaji bali kuwepo nafasi ya mtu kujifunza. Wapiga mbizi mashuhuri, hawakuzaliwa wakijua kuogelea bali walijifunza; na wakiwa ndani ya kidimbwi cha maji (au tuseme swimming pool).
Kwa kuwa Urais ni taasisi, Dr Slaa kama Rais, atakuwa na washauri wenye uzoefu kutoka taasisi mbalimbali za Taifa. Unasema 'uongozi wa kanisa umemshida', ndiyo maana aliacha uongozi huo. Hata kama madai yako yangelikuwa sahihi, basi inaonyesha kuwa yeye hana uchu wa madaraka, kwa maana kwamba Urais 'ukimshinda' ataucha kama alivyoacha uongozi wa dini, ili kuwapa nafasi Watanzania wengine (kwenye timu yake, au vinginevyo) wenye uwezo, wakulihudumia Taifa na wananchi wake.
Nje ya hayo, madai mengine yaliyomo kwenye makala yako, kidogo yanaelekea kulenga kumrushia matope Dr Slaa (au CHADEMA), kwa sababu ambazo unazifahamu wewe. Lakini tena uhuru wa kutoa maoni, ndiyo msingi mkubwa Dr Slaa anadhamiria kuimarisha.
Alamsiki
Jamani,
Kwani huyo Slaa wenu, kama angeshinda (hata hivyo hatashinda, kamwe!) atakuwa hatozi kodi? Serikali gani inaendeshwa bila ya kodi? Hoja hapa ni kwamba CCM iliahidi na mengi imeyatekeleza mengi! Tumpe kura Slaa kwa sababu gani na kwa lipi? Kupasua"mabomu"? Wananchi hawali "mabomu", wanahitaji maendeleo, siyo fitina na matusi!
Bwassa
Jamani,
Tusidanganyane hapa kwenye Forum kuwa eti Dk. Wilbrod Slaa atashinda kiti cha Rais! Hakuna vigezo vyovyote vya kisayansi vinavyoashiria jambo hilo, labda hii Opinion Poll ya Jamii Forum, ambayo imethibitika dhahiri kuwa ni ya kuchakachua!
Fikiria yafuatayo:-
· Dk. Slaa hana uzoefu wowote wa uongozi wa Kiserikali;
· Uongozi wa Kanisa umemshinda;
· Uadilifu wake unatia shaka (kuiba mke wa mtu, kuishi na mwanamama muda mrefu bila ya kumuoa rasmi, kuchukua pesa za walemavu mpaka wakamuondoa uongozi wa Kanisa);
· Katika Bunge (alikokimbilia kufanya kazi ya Siasa baada ya kushindwa kabisa, tena kwa aibu, kumtumikia Bwana!) kazi yake ni kuvurumisha mabomu tu, hana jipya (kama mabomu yanampeleka mtu Ikulu, Augustine Lyatonga Mrema angekuwa Rais wetu mwaka 1995!).
Mtakuja kuabika humu katika JamiiForum baada ya Oktoba 31! Mtaishia kusema CCM, imeiba kura (wimbo wa wanasiasa wa upinzani Tanzania, uliochosha masikioni)! Isitoshe, Urais si wa kumjaribu mtu, ukitaka waulize Waganda walivyomjaribu Iddi Amin aliyempindua Rais Milton Obote au Wazambia walivyomjaribu Chiluba (aliyekuwa anapasua mabomu dhidi ya UNIP hadi akamtia ndani Rais Kenneth Kaunda)!