yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,922
- 4,181
Habari wakuu?
Ninahitaji TV aina ya zile za kwenye mabasi. Mfano ni kama kwenye picha niliyoambatanisha. Nataka niiweke dukani kwangu.
Ninaomba muongozo naweza pata wapi hii TV na bei zake zikoje. Au kama kuna ambae anayo anichek.
Shukrani.