mkuu nina pungufu ila naihtaji hiyo simu!ipo e52 mpya kwa laki na 20
mkuu nina pungufu ila naihtaji hiyo simu!
ninayo hapa miaka kibao natesa nayo e75 sitegemei kuiuza wala kuigawa labda waikwapue.
Simu imara sana
na inamuonekano mzuri sana.