Ninahitaji nokia e series yoyote

stevoh

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
2,922
1,195
Husika na kichwa cha habari hapo juu..
Nahitaji nokia e series yoyote kwa haraka mwenye nayo aniambie na bei..
Au kama unaweza nitext kwa namba 0758158730
 

amu

JF-Expert Member
Aug 8, 2012
15,279
2,000
ninayo hapa miaka kibao natesa nayo e75 sitegemei kuiuza wala kuigawa labda waikwapue.
Simu imara sana
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom