dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,832
- 20,350
Una watoto Wangapi ?Mtoto mmoja mwenye nidhamu, dah mwanangu umenikosesha hii bahati hahahah
Una watoto Wangapi ?Mtoto mmoja mwenye nidhamu, dah mwanangu umenikosesha hii bahati hahahah
Watoto kama wote alafu kizunguzungu hahaUna watoto Wangapi ?
Hmm!!Watoto kama wote alafu kizunguzungu haha
Wapi huko bossUkumbuke kupita na kule kwetu best,,kumekauka sana asee
Kule SUASOWapi huko boss
😂😂😂😂😂sawaKule SUASO
Hahaha umenifurahisha sana aiseeMtoto mmoja mwenye nidhamu, dah mwanangu umenikosesha hii bahati hahahah