NajaNina umri wa miaka 34 ninahitaji mwanamke mwenye umri kati ya 22-26,mkristo (romani) mwajiriwa au hana ajira,cheupe au maji ya kunde,kama amezaa awe na mtoto 1,mwenye nidhamu
Njoo[/QUOT
Aya
Ameshapata naona Jack amechangamkia fursaHujataja wasifu wako buana.
Bado ,ameniita inboboAmeshapata naona Jack amechangamkia fursa
NajaMimi ni mwajiriwa serikalini,kama unahitaji sifa zaidi njoo inbox
😄😄😄 fursa kama hizi adimu sana,lazma niwahi mkuuAmeshapata naona Jack amechangamkia fursa
Weee! Unaenda wp,mi nishawahi😎😎Naja
Basi nenda amesema ni mtumishi wq serikaliniBado ,ameniita inbobo
PM ni yetu sote my kazi kwake kuchagua.Weee! Unaenda wp,mi nishawahi[emoji41][emoji41]
😂😂😂😂😂😂Heee mnang'ang'aniana?
Hajataja mkoa anaoishi,ila nitaujua huko PM.Basi nenda amesema ni mtumishi wq serikalini
😎😎 aya shoga angu!twende wotePM ni yetu sote my kazi kwake kuchagua.