Jackline Bahath
JF-Expert Member
- Feb 14, 2016
- 680
- 627
😂😂Hajataja mkoa anaoishi,ila nitaujua huko PM.
😂😂Hajataja mkoa anaoishi,ila nitaujua huko PM.
Unadhani kuolewa ni kitu cha mchezo mchezo nn brazaHeee mnang'ang'aniana?
Mtamalizana huko huko ila msilete sred hapa mkishindwanaHajataja mkoa anaoishi,ila nitaujua huko PM.
Jamaa si kasema anataka wa kuoa au??We
Unadhani kuolewa ni kitu cha mchezo mchezo nn braza
Au mimi nije kwako?Heee mnang'ang'aniana?
Aa,usiende huko bhanaAu mimi nije kwako?
Ngoja nimsikie nayeye vigezo vyake, nawinda pote shoga.Aa,usiende huko bhana
Deal done!Naja
😂😂😂 wewe noma! SikuweziNgoja nimsikie nayeye vigezo vyake, nawinda pote shoga.
Kumbe unasaka[emoji16][emoji16]Ngoja nimsikie nayeye vigezo vyake, nawinda pote shoga.
Wekeni vigezo maana wawindaji wako wengi hapaAa,usiende huko bhana
Kwani Mimi nimetangaza?Au mimi nije kwako?
Ukumbuke kupita na kule kwetu best,,kumekauka sana asee[emoji1][emoji1][emoji1] fursa kama hizi adimu sana,lazma niwahi mkuu
Ukitangaza unitag.Kwani Mimi nimetangaza?
Sawa hayo si mtaelekezana huko hukoSiyo kuoa kienyeji nataka taratibu zote za ndoa za kikatoriki zifuatwe
Mimi Tayari nina mke na kwa mujibu wa imani yangu mke mmoja anatoshaUkitangaza unitag.
Nice.Mimi Tayari nina mke na kwa mujibu wa imani yangu mke mmoja anatosha