Hii ni platform inayocontain watu wengi na wakila namna wengine ni watu humu wengine ni wanyama humu. Toa maelezo vizuri upatwe kusaidika. Pangine chako unachokiona kikubwa kwa wenzio ni kitone katika yale walio au wanayopitia. Kla la kheri. Ukweli utakuweka huru.Havihusian hata kidogo
Andika Kwa kirefu,funguka,huo msaada unaosema tukusaidie,utauoataje kwa kueleza nusunusu namna hiiYupo hai
Mkuu ukipata nafasi kachek malariaNinahisi mume wangu nae anahusika kwa hili kila siku anaondoka anasema anaenda msiba wa kaka yake akirudi ni usiku saa sita na hataki nihudhurie msiba anadai nimechoka sana nipumzike ili nirudishe nguvu
Nikama ananichota akili kwa njia zisizoonekana nikama wanachukua kila kilicho changu kwa njia zisizoonekana
Na akiondoka anarudi saa sita usiku tena lakini anakuwa ni roho nyingine kabisa kwa sura ya mume nikigoma kumfungulia anafungua mlango kwa njia zisizoonekana nikimuuliza amepita wapi eti nilikuwa na funguo
Ndio na mimi nimemwambia hivyo akakaza fuvu.Mkuu ukipata nafasi kachek malaria
Labda ni katunga mashairi?Mkuu mbona umeandika kama verse ya wimbo.
Wewe upo kundi la hao wanyama sio?Hii ni platform inayocontain watu wengi na wakila namna wengine ni watu humu wengine ni wanyama humu.
Kuna ndugu yangu wakati anaanza kuacha ulevi alitusumbua sana anaamka usiku anatuambia angalieni mpapai unanyanyua miguu juuu, watu wakasema analogwa ili asiache pombe mi nikampeleka hospital akapewa dawa za Malaria hadi leo hajawahi kuona tena mpapai ukinyanyua miguu juu.Ndio na mimi nimemwambia hivyo akakaza fuvu.
Ni kama mleta mada,akili yake imesha mtuma kwenye ushirikina tu,Kuna ndugu yangu wakati anaanza kuacha ulevi alitusumbua sana anaamka usiku anatuambia angalieni mpapai unanyanyua miguu juuu, watu wakasema analogwa ili asiache pombe mi nikampeleka hospital akapewa dawa za Malaria hadi leo hajawahi kuona tena mpapai ukinyanyua miguu juu.
Sasa unamwachiaje Mungu? Hao watu wanapokuja kwa sura ya mmeo yeye anakuwa yuko wapi wakati huo? Wakija wanakuingilia au inakuwaje? Mnaishi mkoa gani? Piga maombi ya nguvu ili Mungu akulipozie kisasi wakondeane kama wana ukimwi!Ninayopitia mungu ndie anajua
Mniombeee
Nimazito mnoo
Unseen forces
Drained ernegy
Naishiwa nguvu
Nikionacho sicho
Yaan wanakuja watu kwa sura ya mume wangu lakini sio
Yote nimeamua kumuachia mungu afanye yake
Wewe unayejua mbona umekuja kuomba msaada huku? Si ungemaliza tu mwenyewe huko?Hujui chochote kuhusu unseen forces
Uki hitaji mtu wa kuongea nae, you can talk to me.Hapana hamjui tu ninayopitia na hii ni mara ya tatu napitia haya mazito
Wewe unaishi peke yako?.Ninahisi mume wangu nae anahusika kwa hili kila siku anaondoka anasema anaenda msiba wa kaka yake akirudi ni usiku saa sita na hataki nihudhurie msiba anadai nimechoka sana nipumzike ili nirudishe nguvu
Nikama ananichota akili kwa njia zisizoonekana nikama wanachukua kila kilicho changu kwa njia zisizoonekana
Na akiondoka anarudi saa sita usiku tena lakini anakuwa ni roho nyingine kabisa kwa sura ya mume nikigoma kumfungulia anafungua mlango kwa njia zisizoonekana nikimuuliza amepita wapi eti nilikuwa na funguo
............... nifundishe kunyamaza.Uki hitaji mtu wa kuongea nae, you can talk to me.
sometimes hatu nyamazi, hata kumsikiliza ni tiba tosha................ nifundishe kunyamaza.