Ulimate4
Member
- Nov 5, 2010
- 37
- 1
Habari zenu wadau wa jukwaa hili, nina hitaji ushauri kuusu tatizo ili ,mi kijana wa kiume ,umri wa aka 27 ,ni hivi huwa ninapokuwa nikifanya tendo la ndoa na wife,nakuwa najikuta ninawahi kufika kileleni haraka kuliko mwenzangu ,kitendo ambacho kinanisababishia mtafaruku ktk mahusiano yangu na mwenzangu,
Ninaomba kujua je, hili ni tatizo kwangu me?na kama ni
Tatizo linaweza kupatikana tiba yake.!! Ahsante
Ninaomba kujua je, hili ni tatizo kwangu me?na kama ni
Tatizo linaweza kupatikana tiba yake.!! Ahsante