Poleni na majukumu wakuu
Iko hivi ninahitaji kuagiza kioo cha Huawei Y9 Prime 2019
Sasa ningependa kujua kwa huko online huwa wanauzaje maana huku mtaani nimeambiwa bei yake ni 140,000/= cash.
Na je vipi naweza pokea muda gani baada ya kuagiza?
Na ningependa kujua pia kama kuna makato ya ziada mzigo ukifika, maana nimeona katika baadhi ya nyuzi watu wakilalamika kutakiwa kulipa kodi baada ya mzigo kuwasili.
Nawasilisha wakuu