Tougher
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 245
- 65
Wakuu,
Nina Shamba langu lenye ekari 40 maeneo ya mkuranga, Ninataka kusafisha jumla ya ekari 10 ili niweze kujenga mabanda ya mifugo na kupanda mazao machache. Ninaomba msaada mwenye kujua wapi ninaweza kupata either Bulldozer, Excavoator, au machine yoyote yenye uwezo wa kusafisha shamba lenye visiki na vichaka vingi.
Tafadhali naomba kujua wapi naweza kupata na bei zao
Natanguliza Shukrani zangu za dhati