selukeng'e
Member
- May 11, 2015
- 10
- 24
Wadau ninaomba kujua ili machine ya mwanaume iitwe kibamia iwe chini ya inchi ngapi? Wa kwangu ukisisimana in NchI sita, lakini wanawake wengi wamekuwa wakiniambia mbona kadogo hivi. Hata hivyo huwa nakuwa mnyonge nikiambiwa hivyo
