Ninahisi mwana anafanya shughuli haramu

Labda ni bwabwa tayari. Vijana wamekuwa laini laini sana.
 
Au unaweza kukuta huyo jamaa asiye na kazi alafu anakula bata ndio huyu mleta mada alafu huyo tunaeambiwa mlabata hana kazi ndio huyo jamaa anayemuepuka mteta mada. Uwenda kaleta mada hii ili aone jamii inamchukuliaje mtu mlabata asiye na kazi

Acha ufala,mimi nimeleta hii mada ili niweze kuona naweza jitenga vipi na huyo mtu ili hata kama anafanya shughuli ovu nimkwepe.
 

Angekuwa anafanya kazi inayojulikana yes ungesema namwonea wivu,ila sio kwa complications hizo
 
Kuligana na topic zako za nyuma wewe mwenyewe ni shoga
 
Yaani muda wa dhiki, muda wa kulima na kupalilia ulikuwa na mwana ila sasa muda wa faraja, muda wa kuvuna na kula ndo unajiondoa? Ukisikia kupishana na Gari ya mshahara ndo huko sasa...... 😂😂😂
 
Kumbe hii ndiyo akili yako, i feel sorry for you
Vijana wa siku hizi tunapenda mteremko, ndio maana baada ya kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na mwanamke ndani ya wiki moja ni lazima tungeuliza "unajishughulisha na nini?" Akisema hakuna kitu anafanya lazima tukimbie!

[emoji23][emoji23]
Tunatumia fursa!
 
Au unaweza kukuta huyo jamaa asiye na kazi alafu anakula bata ndio huyu mleta mada alafu huyo tunaeambiwa mlabata hana kazi ndio huyo jamaa anayemuepuka mteta mada. Uwenda kaleta mada hii ili aone jamii inamchukuliaje mtu mlabata asiye na kazi
Nimecheka kwa sauti mpaka mama mkwe kaja kunichungulia humu chumbani!
[emoji23][emoji23]
 
Unajisifia kabisa ?? Aisee
 
True say bro, ila kwa sasa mashoga wameongezeka sana na wengine ni wazee kabisa.
 
Ulikuwa nanafuhia sana kumuona yupo nyuma wewe upo mbele. Now amejiweza kidogo unavunja ukaribu, Bado tunguli tu lakini umeshaiva.
 
Half nyie hamjui kuna mishe hapa nchini zinaenda chini kwa chini...!!kam anapiga picha hotel tfaut tfaut maanake ana kazi kuzibua watu mitaro...watalii wengi hua wanatakaga huduma hyo...!!so unaacha contacts mahotelin...likija dili unapigiwa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanakulana, acha ubishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…